Maige amwita Nape 'Gamba', Nape amjibu...

Ama kweli Maige ni debe tupu.Na "debe tupu haliachi kutika". Ni Shibuda mwingine. Naomba Bi Mkora amuache aropoke ili tujue mengi jinsi alivyo na mambo ya MAGAMBA
 
Bwana Nnauye kwa nini unamuogopa Maige kwa kuandika kwenye JF tu? Muambie yeye au umwajibishe kwenye vikao vya MAGAMBA.
Hiyo nayo ni namna ya kumfikishia ujumbe Maige.

Pamoja na kwamba Nape huwa anakurupuka wakati fulani ila Maige ndio mropokaji na anatapatapa kwani hakujua Nape ni gamba akiwa waziri? Inakuwaje aongee hayo baada ya kupigwa chini?

Maige ni gamba pia, mwizi wa rasilimali za nchi halafu leo anataka huruma za wananchi eti ameonewa! Anawafanya hata wananchi wake waonekane wapuuzi kwa kumtetea na kumpokea kishujaa mtu ambaye ni fisadi papa. Mbona wezi wenzake akina Ngeleja, Nundu etc wamekaa kimya?

Kwa upende mwingine nafurahia minyukano hii maana M4C itafanikiwa sana, Viva CDM!!
 
songa mbele mkuu, magamba mengine yakishindwa kutoka njoo CDM uvae gwanda ili tuyashikishe adabu, usikatishwe tamaa na baadhi ya magamba mkuu.

Asijidanganye CDM sio mahali pa kupokea kila takataka, tutapokea wote lakini Nape kwake ni CCK, tulimuita wakati ule akiwa mchanga akadanganywa na ukuu wa Wilaya sasa hawa wa rushwa rahisirahisi kama za Ukuu wa Wilaya wataisoma namba. Amuone mwenzie Ole Milya tulivyompokea na tunamuheshimu
 
hivi Nape unapoita wenzio mafisadi au unadhani hatujui ulipewa 100m na mzee fulani mwenye makampuni fulani wakati wa kampeni zako za ubunge ubungo??? shauri zako tutaweka nyeti hapa jamvini ukimbie...
 
naamini kama angejitokeza kujibu tuhuma zinazomkabili za kujigawia vitalu vya uwindaji,kusafirisha malihai nje ya nchi, under performance ya uwaziri,kupata mali zaidi ya kipato,kukwepa kodi kupitia kampuni yake ya usafirishaji.Kuliko kumkashifu Nape ambaye hakuhusika kwenye kashfa zake.Au alitaka Nape atembee nchi nzima akikanusha tuhuma zilizowapata hao mawaziri mpaka wakapigwa chini!
Namjua Maige ni kilaza ukiondoa uwezo wake wa kumeza nondo za darasani.
 
This has nothing to do with Sukuma culture, please leave these beautiful people alone, and Maige does not represent every sukuma in this world, every one has his/her own cross to carry.
 
Maige kachanganyikiwa baada ya kupigwa chini halafu wewe Nape usijifanye wewe msafi sana wakati hujawahi kufanya chochote kwenye taifa letu zaidi ya maneno mengi.
 
Hakika sasa naweza kuamini CCM imevunjika vipande vipande. Hii ni hatari kwa chama kinachotawala.
Mpiganaji naona kama vile NAPE anamjibu Slaa. Siamini kama ni CCM wanapeana hayo majibu. Utadhani wajenzi wa mnara wa babeli. Sisi tuendelea kula mvinyo mwisho wao mwanzo wetu u-karibu.
 
haya magamba mbona hayataki kutoka jamani???Ngoja nichukue uraisi 2015,waone kazi
 
Maige kachanganyikiwa baada ya kupigwa chini.

Mkuu ritz unafanya mchezo na V8 VX hata ukiingia kwenye shimo husikii! Unaangalia tu TV ama DVD wakati dereva anahangaika! Unacheza wewe na kuingia kwenye hotel zote za kitalii na kutanua bila malipo yoyote! Umewahi kula nyama ya Pofu wewe? Wenzio wakienda mbugani WANACHINJIWA pofu! Umewahi kula nyama ya ndege aitwaye Kori Bastard wewe? Wenzio wakienda huko kwenye mbuga zetu huchinjiwa huyu ndege ambaye ni mtamu kweli kweli. Eti yooote hayo unapokonywa kwa tamko moja tu basi. Hata ningekuwa mimi ningepiga mayowe.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ritz unafanya mchezo na V8 VX hata ukiingia kwenye shimo husikii! Unaangalia tu TV ama DVD wakati dereva anahangaika! Unacheza wewe na kuingia kwenye hotel zote za kitalii na kutanua bila malipo yoyote! Umewahi kula nyama ya Pofu wewe? Wenzio wakienda mbugani WANACHINJIWA pofu! Umewahi kula nyama ya ndege aitwaye Kori Bastard wewe? Wenzio wakienda huko kwenye mbuga zetu huchinjiwa huyu ndege ambaye ni mtamu kweli kweli. Eti yooote hayo unapokonywa kwa tamko moja tu basi. Hata ningekuwa mimi ningepiga mayowe.

Mkuu wangu Kimbunga kweli lazima uchanganyikiwe huyu ndege jina jingine anaitwa Ardeotis Kori nyama yake tamu ana kilo 18 upate jike wanachoma na kula na mkate wa kuchoma...kweli Maige tumuonee huruma...kila jumatatu anachinjiwa Nyemera jike.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom