Mkeshahoi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 2,469
- 281
Pale British Council wanafundisha jinsi ya kutokuogopa kupenda fanya fanya and enroll ASAP....
Mkulu....umidesea huko kwa wazungu..?
Pale British Council wanafundisha jinsi ya kutokuogopa kupenda fanya fanya and enroll ASAP....
if ur afraid to be in a relationship i am afraid to show u another alternative too!
Hahahaha!! Mkuu na wewe ni muoga kiasi hicho kupenda?Mkulu....umidesea huko kwa wazungu..?
mkulu nitake radhi na fwaini ya bia 2 palepale pa jana... hio anga haisumbui... ni wewe binafsi unajielewesha mkichwa.!!!Hahahaha!! Mkuu na wewe ni muoga kiasi hicho kupenda?
There is probably no other alternative. . .kama ingekuwepo ingenifahamisha ili na mie nijue, huwezi jua labda itanivutia.
its seems u never opened ur heart to somebody!
...nenda na flow tu bana, ushambiwa love ina four season kama dunia, kuna;
"Spring," yanavyochipuka kusikojulikana, unajiskia kutoa maua na hata "vipepeo unawaona na rangi zao!"
"Summer," mapenzi moto moto...kila wakati unajiskia uwe naye...hakuna kuliko yeye
"Autumn," hapo kidogo unaanza nataka sitaki...moods zilikotokea hujui, dakika moja unacheka...mara unajiskia unune tu...
"Winter," hapo unataka uachwe kama ulivyo...mind the gap...unalazimisha mtu aheshimu space yako
...ukishauzoea mzunguko huu, wako na wa mpenzi wako mapenzi wala hayatakusumbua.
Is there a reason to?
Nilikua nakuja kuandika almost hivi hivi.here is the alternative! Do not let what u can not do interfere with what you can do!
here is the alternative! Do not let what u can not do interfere with what you can do!
sikiliza wimbo wa didge- saa zingine
upo yotube
nimeshindwa kuuweka hapa
mchina kagoma