Mahusiano yako na watu wengine. . . . YANARIDHISHA?

hahahah dah.....umenichekesha kweli!! Asante kwa kunipatia kicheko cha alfajiri mama mchungaji, tutakutana kanisani b'dae mia wala asikupe hofu!!

Hahahaha baadae kakondoo. Zingatia mafunzo ehhhhh. . . . . !!
 
lizzy, umeongea kitu cha msingi. Bin Adam sijui kama kaumbwa na ubinafsi, ama inakuwaje! Niseme tu, najitahidi kutimiza andiko 'mpende jirani yako kama nafsi yako', though niseme pia I am good at tough love kujihakikishia upendo wangu hauwi abused.
One caution to everyone: mara nyingi tunakuwa wazuri mno kwa strangers,ofisini etc. Niwaulize how many people here holds the door for their blood sisters, mume/mke, ama watoto wao? How kind are u to people who have once hurt u? Je, ina maana sana kuwa 'a nice person' kwa total strangers, watu uliokutana nao kwenye meetings tu? Maybe hata kazini tu? Are you kind to your family, siblings? Manake hao ndo jirani zako wa karibu zaidi. Wengi wetu hatuko hivyo, I try my best kuwa mtu mwema kwa wale wa nyumbani kwangu pia.
 
Asante kwa kutukumbusha na hongera for trying.
Kuna kitu kingine ningependa kumkumbusha Lizy: wewe unaweza kujaribu kumfanyia mwenzio 'wema', yeye akaona ni kero. Binafsi napenda sana kukaa peke yangu. na nikilazimishwa kua na watu wengi in the same space, nakaa in a corner. some people think that I am shy, so wanakuja wawili, watatu kukaa na mimi, 'wanichangamshe'. Nisipoonekana katika mkutano wa 'marafiki wa ofisini' unaona mtu anakuja kunitoa ofisini etc.
Kuna watu wengine hawapendi uwafungulie mlango. kuna wazee hawapendi uwapishe kiti wakae. wanataka uendelee na maisha kama huja note chochote. so here too be assertive, don't over do it.
 
Kuhusu wazee, it is worth it trying to offer. Mara nyingine huwa nasema 'naweza kukusaidia?', and I'm ok anyhow. Umenikumbusha a mark of my father. Tulienda shamba, gari ikatuharibikia akaniambia tutembee. Kama km 4 hivi(I was in form 1 nadhani, lazy brat. Nilinuna kabisa, coz if it was my take ningelala shamba kungojea gari,lol). So, kuna mahali kwa shortcut kuna mto mkubwa usio na daraja, unateremka bonde halafu unapanda kilima. Hapo bondeni tukakutana na bibi mzee sana, amebeba kuni. Dingi akamuambia naomba nikusaidie mama yangu nitakuachia kuni zako hapo barabarani (baada ya kumpa shkamoo na pole). My dad carried kuni na tulipofika barabarani akaniambia catch ur breath tumsubiri huyu bibi manake akipita mtu akazichukua hizi kuni tutakua tumekosea sana. RR, I was so humbled! Since then,nikienda tution nikawa nalipia wazee kwenye daladala with my allowance.
About not overdoing, I make sure I don't especially kwa walemavu. I let them ask for help so that I don't make them feel useless.
Asante kwa kunikumbusha

I wish all dads were like your's! Si unaona influence yake on you? Basi wengi tungekua hivo...
 
lizzy, umeongea kitu cha msingi. Bin Adam sijui kama kaumbwa na ubinafsi, ama inakuwaje! Niseme tu, najitahidi kutimiza andiko 'mpende jirani yako kama nafsi yako', though niseme pia I am good at tough love kujihakikishia upendo wangu hauwi abused.
One caution to everyone: mara nyingi tunakuwa wazuri mno kwa strangers,ofisini etc. Niwaulize how many people here holds the door for their blood sisters, mume/mke, ama watoto wao? How kind are u to people who have once hurt u? Je, ina maana sana kuwa 'a nice person' kwa total strangers, watu uliokutana nao kwenye meetings tu? Maybe hata kazini tu? Are you kind to your family, siblings? Manake hao ndo jirani zako wa karibu zaidi. Wengi wetu hatuko hivyo, I try my best kuwa mtu mwema kwa wale wa nyumbani kwangu pia.

Mkuu King'asti umeongea jambo la msingi sana na ukiangalia wengi hawako hivyo kwa ndugu zao, jamaa wa karibu, mke/mume na watoto pia.

Lol! Kuna siku nilimuona kakangu wa pili aki-hold mlango wa ajili ya rafiki yake wa kike (sio GF), I was shocked! Nilienda kumsimulia mama! He is so self centered, ana upendo wa aina yake ila sio considerate hata kidogo! Nikamuuliza dada mmoja walishawahi ku-date, she told me he used to open car doors for her. Sijawahi muona akimfungulia mama mlango wa gari hata kama anampeleka hospitali,lol!

Telling that story inanitoa chozi. Hata tough love pia nilijifunza kwake, and it aint that good an influence especially if u are on the other side of the road, hahaha!
I wish all dads were like your's! Si unaona influence yake on you? Basi wengi tungekua hivo...
 
Lol! Kuna siku nilimuona kakangu wa pili aki-hold mlango wa ajili ya rafiki yake wa kike (sio GF), I was shocked! Nilienda kumsimulia mama! He is so self centered, ana upendo wa aina yake ila sio considerate hata kidogo! Nikamuuliza dada mmoja walishawahi ku-date, she told me he used to open car doors for her. Sijawahi muona akimfungulia mama mlango wa gari hata kama anampeleka hospitali,lol!

I guess chivalry ain't dead yet!
 
hahaha alafu ni type ya watu ambao mtu akikuudhi unakisanua haswa wala humuachiii, unakomaa nae mpaka kieleweke/mpaka pale roho yako itakaporidhika.....lol!!!

mtu akiniudhi nisimjibu roho inauma sana. kiasi kwamba hata chakula hakishuki. mwisho wa kumvumilia mtu ni mara2 tu akizidisha nakinukisha. mara ya kwanza na ya pili nakuvumilia. baada ya hapo sikuangalii sura, cheo, umri wala uhusiano. nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi. sipendi dharau wala mtu aonewe. Mia
 
figga inaonyesha we mkali aisee! mia
 
aiseee....
mimi nina multi personality disoder......lol

wapo watu wananijua kama muongeaji saana
na wapo watu watakuambia mimi siongei kabisa....

the thing about me huwa sipendi 'ku impress watu'
na niko suspicious na sifa ambazo mtu atanipa
siko saana comfortable na kusifiwa..na hainiumi kabisa mtu akiniponda....

mwisho kabisa niko way comfortable na 'my own company' pengine kuliko chochote.....
but najitahidi mno kutowaudhi watu bila kuwa mnafiki.....lol

ooh how these explanation fits me too!!
 
Busara,upendo, ukimya( upole) na reality ndio zinamata hapa. No mo ,no less..
 
figga inaonyesha we mkali aisee! mia

mkuu mi mtu peace sana, sina makuu, napenda matani sana. Mimi sio mkali kivile sema nina hasira kiasi. kuna watu wana dharau sana. sitaki kusema wahindi ndo wanadharau sana. but naenda nao sawa. wabongo wote wamoja, tupendane, tuheshimiane na tusaidiane. pamoja sana. Mia
 
Back
Top Bottom