Mapenzi ya kweli yapo, haijalishi hao watu wanakutana wapi. Kama wameanza kukutana facebook haimaanishi hawawezi kuwa na mapenzi ya ukweli. Ingawa vijana wengi wanaingia katika hizi social media kutafuta mahusiano ya muda, ndo maana wengi wanajitahidi kuweka picha ambazo zinavutia zaidi (Photoshop).Hivi kuna mapenzi ya dhati au ni kudanganyana?maana mtu akiona picha anachanganyikiwa wakati picha hizo wanaendaga kupiga photopoint.
mie nimekutana na mwanaume,nimempenda na yeye anadai ananipenda,anataka tuonane ila mie namzingua maana picha nilizoweka zimetoka vizuri na slim,wkati mie ni wa kawaida na ni bonge,:happy::der::der::der:
Mapenzi ya kweli yanatoka moyoni....
mie nimekutana na mwanaume,nimempenda na yeye anadai ananipenda,anataka tuonane ila mie namzingua maana picha nilizoweka zimetoka vizuri na slim,wkati mie ni wa kawaida na ni bonge,:happy::der::der::der:
Kizuri lazima kiandamwe hata kama kiko Angola, kwa kina Eduardo dos Santos :biggrin:wanaume wanawavuna kweli huko fb....
wanaume wanawavuna kweli huko fb....
mie nimekutana na mwanaume,nimempenda na yeye anadai ananipenda,anataka tuonane ila mie namzingua maana picha nilizoweka zimetoka vizuri na slim,wkati mie ni wa kawaida na ni bonge,:happy::der::der::der:
wanaume wanawavuna kweli huko fb....
umempenda kwa vigezo vipi sasa wakati hata kumuona hujamuona? kama kaweka picha bandia je? ama kweli cheni feki, fedha feki