Mahusiano na maboss ofisini....!

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
Hi...,
jamani kwa wale ambao hua wanafanya kazi chini ya usimamizi au menejment, hivi mahusiano yenu na mabosi wenu yapoje??

Kwa mimi nina bahati mabaya kidogo.kwanza wa kwangu ni she.
-hajui kumspare mtu.atakuponda vyovyote mbele ya yeyoye.
-never hua haapriciate kazi hata ungetumia efforts kiasi gani
-Me na doubt iwezo wake kikazi kwani mostly huponda kazi zangu lakini finaly ndizo ambazo huzi submit management kuu kama zilivyo au kwa editing ndogo sana kwa ajili ya approval.
-ana disapoint badala y ku courage..
-kwa ujumla ni mlalamikaji mno.

anyway hata hivyo kisaikolojia me niko poatu.si doubt sanauwezo wangu kikazi ingawa najua kibinadan kuna wakati naweza kosea. na pia once malengo zangu hapa zikitimia i will get off.
 
Kama wewe ni HE basi huwa mara nyingi ni inferiority walizonazo hii jinsia ya KE ingawa si wote!! Anahitaji repair ya saikolojia ili iwe akilini mwake kuwa licha ya kuwa anaongoza wanaume basi wanamuheshimu na kumtii kama bosi.

Ukimchunguza vizuri wakati anafoka au analalamika unaweza sikia kauli `au kwa kuwa mimi ni KE ndi mana......................`

Nasi tulishakuwa na bosi mwenye tatizo hilo, thanks God kuna wazungu walikuja kufanya kazi nasi wakamgundua tatizo lake. Wakamrepea kisaikolojia na sasa ni bosi mzuri huyo acha kabisa na kazi zinakwenda murua kabisa!!
 
Ukifanya kazi na bosi ambaye yuko mean,mkali na very critical,it is a chance to sharpen u up!Just know she is preparing u to get her job,or a bigger job outside.Hakuna kitu kinachozuia career development kama kuwa na a useless boss anayeitikia kila kitu.Be positive,akiponda kazi muulize what other ideas u can add on na jiskie kama ni mafanikio ya team.attitude is everything ndugu.
 
Join Date : 21st April 2010
Posts : 345
Thanks
0

Thanked 70 Times in 43 Posts
Rep Power : 21

Afu ujitahidi pia kumshukuru kwa ku-critisize kazi yako manake anakujenga.Unaona ulivyo mvivu wa kushukuru eeh?am just saying... (nadhani unaweza kuanzia kwenye post hii,meza funda la mate,kisha gonga thanks while smiling)
 
Join Date : 21st April 2010
Posts : 345
Thanks
0

Thanked 70 Times in 43 Posts
Rep Power : 21

Afu ujitahidi pia kumshukuru kwa ku-critisize kazi yako manake anakujenga.Unaona ulivyo mvivu wa kushukuru eeh?am just saying... (nadhani unaweza kuanzia kwenye post hii,meza funda la mate,kisha gonga thanks while smiling)

hahaha!
Inawezekana bosi wake anamsifia sana ili huyu hana shukrani eeh?
Au hata akirekebishwa anaona kama anaonewa.
Fanya kazi, sifa kwenye mshahara na bonuses.
 
Kha
Umeniweza mie nilidhani
ni mambo *** na boss wako
nway ..

Fanya kazi yako
Ilimradi mshiko wa maana unaingia
Kama amekuchosha kabisa tafuta kazi nyingine
kisiri siri.... lakini weka kichwani hiyo ipo sehemu
nyingi sana ..
 
Join Date : 21st April 2010
Posts : 345
Thanks
0

Thanked 70 Times in 43 Posts
Rep Power : 21

Afu ujitahidi pia kumshukuru kwa ku-critisize kazi yako manake anakujenga.Unaona ulivyo mvivu wa kushukuru eeh?am just saying... (nadhani unaweza kuanzia kwenye post hii,meza funda la mate,kisha gonga thanks while smiling)

sio tu kua namshukuru kwa criticszake bali hua namwomba kabisa azitoe kama zipo manake ni kama ilishafika sehem inakua kama ni obvious kua atatoatu,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom