Unapewa ushauri kabla ya kupima na baada damu yako ikiwa ni nzuri wanachukua contact zako siku wakiwa na zoezi tena kama hilo unapigiwa simuUnapewa ushauri nasaha kabla ya kutoa?
Maana hawawezi kukwambia damu yako si safi kama hujapenda wewe mwenyewe!
Khaaa! Yaani unauliza David Camerron Uingereza.Hivi bado kuna watu wanaogopa Kupima?
Haya Kiongozi nimekupata!Unapewa ushauri kabla ya kupima na baada damu yako ikiwa ni nzuri wanachukua contact zako siku wakiwa na zoezi tena kama hilo unapigiwa simu
na pia unafahamishwa aina ya matunda ya kula ili kuongeza damu mwili huwa kuna kitu kinaitwa Rosella zinasaidia sana kuongeza damu mwilini unachemsha ikiishapoa unaichuja unaiweka kwenye friji unakuwa unakunywa kama juisi.
Wanacho ogopa nini?Khaaa! Yaani unauliza David Camerron Uingereza.
Watu kupima wanaenda ila ishu ni kwenye kuchukua majibu hapo watu ndio huwa wanasepaHaya Kiongozi nimekupata!
Hebu wape Elimu wale wanaogopa kupima
Asante kwa ushauri mzuri,
Nimeshatoa damu mara mbili,na kupima mara mbili,
Na kesho naenda kupima kwa mara ya tatu kwa mwaka huu,
Najua watu wengi wanaogopa kupima,lkn sure ama telling u ukimipa na kujua afya yako kuna raha ya pekee,
Unakuwa full confidence hata inapotokea wakati wa kufanya maauzi ktk mahusiano yani unakuwa na msimamo coz unajijua!!!
Nimetoa damu ilikuwa mwezi wa pili kusaidia benki ya taifa ya damu walikuwa na upungufu wa damu.
ilikuwa safi?
Unapewa ushauri nasaha kabla ya kutoa?
Maana hawawezi kukwambia damu yako si safi kama hujapenda wewe mwenyewe!
Unapewa ushauri kabla ya kupima na baada damu yako ikiwa ni nzuri wanachukua contact zako siku wakiwa na zoezi tena kama hilo unapigiwa simu
na pia unafahamishwa aina ya matunda ya kula ili kuongeza damu mwili huwa kuna kitu kinaitwa Rosella zinasaidia sana kuongeza damu mwilini unachemsha ikiishapoa unaichuja unaiweka kwenye friji unakuwa unakunywa kama juisi.
Wanacho ogopa nini?
Ukimwi wa siku hizi sio kama ule wa miaka ya semanini, ukimaliza three month we kidume!
Siku hizi unakaa nao mpaka 20 years, sasa sijui kinacho waogopesha nini?
maana kuna wazima hata hiyo miaka 20 hawafikishi wanakuacha
Thanks mkuu kwa kutukumbusha...Rafiki yangu juzi kaniuliza eti nikienda kufunga ndoa kanisani wanauliza mambo ya kupima?wengi wao ni waoga hasa wanaume hubby nikimwambia ni mbishi ka nini kisa m nimepima anachukulia na yy majibu ni kama yangu.Kutoa damu ni zoezi ambalo halijazoeleka sana ntajitahid kulizoea kama wadau wenzangu.
It can be maana wanaume wa humu jf wantisha ni kama sumu mwanaume kuwa na mwanamke mmoja?ila najua siwezi mchunga yuko mtetezi aliye hai huwa namuachia na kumuomba ulinzi kwa vyote vinavyonihusu,na im sure hata akiupata hautaniingia hata kwa lazima labda Yesu akiwa amelala which i know halalagi...Mmmmh,yawezekana sio wako peke yako.
Maana angekua mwaminifu kwako basi angafurahi hauna na angekua na confidence
kwenda kupima pia,ila kama anaogopa,yawezekana ana m-dauti nyumba ndogo asije kua kamnasisha jana