Mahusiano/mapenzi na uongo: Lipi sahihi kati ya haya?

Kwani kwenye uongo kuna kiwango kwamba huyu kadangaya kidogo na huyu kadanganya sana???
Hakuna kiwango. Uongo ni uongo. Ukiangalia idadi ya wanawake waliowahi kudanganya kwenye mahusiano ni ndogo kuliko wanaume waliowahi kudanganya. Ukichukua wanaume 10, 9 wote ni waongo, wakat ukichukua wanawake 10, m1 ndio muongo, 9 wote ni wakweli.
 
Hakuna jambo linanikera kama uongo kwenye mahusiano,Nasali sana niache kuwa muongo kwenye mahusiano.:doh::shut-mouth:
 
hakuna mtakatifu likija
kwenye swala la uongo kwenye
mapenzi..

Wote ni waongo tu, linapokuja suala la mapenzi...

Ni kweli wakuu mnayosema....lakini kuna kisanga kilichonifanya nijiulize swali hili......

Kama unafuatiklia kwa karibu utagundua wanawake ni waathirika wakubwa wa uongo.....

Kwa mfano, juzi alidanganywa akatiwa mimba jamaa akatambaa, ukadhani kajifunza somo....mara kesho tena kadanganywa vilevile....sasa ndio hapo unajiuliza je hawa wadada ni wepesi kudanganyika au sie wanaume ndo wataalamu wa kuwadanganya?
 
Hakuna jambo linanikera kama uongo kwenye mahusiano,Nasali sana niache kuwa muongo kwenye mahusiano.:doh::shut-mouth:

Pole sana Chauro and hope maombi yako yatajibiwa.....ila unasemaje, sisi ni wataalamu wa kuwaingiza "Kingi" au nyie ndio wepesi? Kujua hili kuta-supplement part kubwa sana ya maombi yako
 
Ni kweli wakuu mnayosema....lakini kuna kisanga kilichonifanya nijiulize swali hili......

Kama unafuatiklia kwa karibu utagundua wanawake ni waathirika wakubwa wa uongo.....

Kwa mfano, juzi alidanganywa akatiwa mimba jamaa akatambaa, ukadhani kajifunza somo....mara kesho tena kadanganywa vilevile....sasa ndio hapo unajiuliza je hawa wadada ni wepesi kudanganyika au sie wanaume ndo wataalamu wa kuwadanganya?
Ukiona mwanamke anadanganywa mara 2, ujue huyo mwanamke ana matatizo, kudanganywa ni mara 1 tu, na hairudii tn.
 
Ayaaa, hivi kumbe huwa ni matatizo!! am interested hapa sana kujua nitatizo gani hasa? Je ni ugonjwa wa kuwa mwepesi kuamini, kupenda sana au?

Ila hebu SL tuzungumze kaukweli fulani hapa (hata kama sio wewe) unaonaje juu ya wanawake kudanganywa na wanaume kwa jambo moja zaidi hata ya mara 2? What is that matatizo behind them?

maana mie kwa umri wangu naweza kusema wako wengi nimewaona na sio wachache atiii?
 
Hakuna kiwango. Uongo ni uongo. Ukiangalia idadi ya wanawake waliowahi kudanganya kwenye mahusiano ni ndogo kuliko wanaume waliowahi kudanganya. Ukichukua wanaume 10, 9 wote ni waongo, wakat ukichukua wanawake 10, m1 ndio muongo, 9 wote ni wakweli.
Hebu cross check hiyo survey yako tena
 
Back
Top Bottom