MAHUSIANO: kazi Kweli kweli......!!

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,519
1,825
Huwa Nawakumbusha Wadogo Zangu Na Kaka Zangu Kuwa MNAPOTAKA KUOA MSICHAGUE WA UCHANGANYIKENI VILLAGE
Ona Sasa Huyu Nae Kadata Mpaka Kaniomba Ushauri.
Nanunukuu....

Mie nimeolewa nina watoto 2 lkn sina amani na ndoa yangu ndugu wa mwanamme
amenishinda yaani amenikaba koho sina amani sina raha ya ndoa yani npo npo tu yaan hata hamu ya kuchuma tunda na mume wangu haipo tena Mimi ndoa yangu inamiaka 7 na tokea nimeingia kwenye ndoa sikuwahi kuishi mm na mume wangu tu,siku zote nyumba imefulika ndugu wa mume na sio kwamba siwapendi la hasha! mambo wanayonifanyia ndio yanayosabisha nikoseamani na ndoa yangu yaani
vijimanenomaneno vya kila siku visivyokuwa na kichwa wala miguu na ile kukaa na watu kula kulala yaani hawafanyi kazi zozote za nyumbani kwa mfano kuchota maji ni inshu,kufua ni inshu yaani watu wapo nyumbani kutwa lkn mm nitatoka kazini nikirudi kama nguo zangu chafu zpo nyingi inanibidi nifue,kunyoosha yaani hapo nimemtafuta mtu wakuwa anakuja kuninyooshea na namlipa hela na watu wapo hawana kazi yeyote.

Tulianza hivi... Wakati tunaanza urafiki wetu na siku nilipokwenda nyumbani kwa mume wangu kumtembelea nilikuta nyumba inawatu wengi sana na nilimuuliza hv ukija kunioa hawa wote nitaishi nao?yeye alinijibu hao wanapita tu hawatakaa hapa mm nikamwambia sawa lkn siku zilivyokuwa zinazidi kwenda sikuona dalili ya hao watu kuondoka hapo bado hatujafunga ndoa ikabidi nimueleze mama yangu mzazi mama akanieleza mimi niendelee na hayo mahusiano yangu alichosema yy ni kuwa watu wenye familia kubwa huwa wanajitahidi kutafuta sana.
Nikaendelea hvyo hvyo lkn moyoni mwangu sikuwa na furaha
wakati huo ninaishi na wadogo zake 5 wakike 3 na Wakiume 2 na wakati huo walikuwa wakisoma shule ya msingi hadi leo wengine wamemaliza form 6,mwingine alipata ujauzito akiwa likizo ya kumaliza std 7 na kaka yake akakasirika akamtimua nyumbani na kurudi musoma,mwingine ndo yupo form 4 sasahv lkn nae pasua kichwa alipata ujauzito na ndg zake wake wakamtoa ili angalau amalize form 4 mwingine huyu ndio balaa nafikiri kiakili hayupo sawa yupo form 2 sasahv lkn mambo anayoyafanya ni balaa kwanza ni mwizi ndani anaiba hela,chupa za soda
kunakipindi alishauza kreti 2 za soda na bia 1,anavuta bangi anajidunga sindano anabani cd za ngono anakuja nazo nyumbani na anaangalia na still bado ninaishi nae hadi leo hii hv huo ni UVUMILIVU WA AINA GANI NILIONAO?
Mimi ninawatoto wadogo na sijui uwanajifunza nn?

So siku zikaenda na tukaona na siku natoka hnymoon narudi hm nyumba ilikuwa imejaa mama wakwe 4 na hao 5 na ndg wengine na walikaa wengine ndani ya mwezi 1-2 wakwe 3 wakaondoka nikabaki na mama mkwe yaan mama wa mume wangu kwan yy alikuwa ndo ameshafika,sasa huyo mama ni full kualika watu nyumbani waje wamtembelee na wakija atawang'ang'aniza
wabaki yaani hana huruma hata kdg watoto wake wanatunzwa hapo,yy na still anaita ndg wengine niliyavumilia na nikawa naongea na mume wangu
kuhusu alivyoniahidi kuwa wataondoka lkn kwasasa majibu yalikuwa tofauti na yale alinijibu sasa wataenda wapi? wewe vumilia wamalize shule na mwisho wa siku kila mtu atajitegemea

from there furaha ya ndoa ilitoweka nikawa naishi kimazoea nimeshafunga ndoa tayr bac sina jinsi yaani vitu vinanitesa sana
na hadi ndoa yangu imekuwa chungu yaani unajua nime
choka!
Sana nishaurini tafadhali nifanyaje maana nahisi nimefikia mwisho.

¤¤¤-- Mama Wawili--¤¤¤
 
usitukane mamba kabla hujavuta mto, kama unaushauri mpe si kumuita pu---, wengine kukataa ndugu wa mumewe kuishi nyumbani kwao hawawezi kutokana na mazingira au walivyolelewa

(ignore this post if you are 80+ au una watoto 25+ years old)
 
daah iyo familia yote jamani? loh mpe pole zake avumilie tu hapo ndo umoja switch..ukipenda boga penda na ua lake
 
Unaushaur gan?
 
daah iyo familia yote jamani? loh mpe pole zake avumilie tu hapo ndo umoja switch..ukipenda boga penda na ua lake
 
Boga?!Mh yani nilivyokasirika we dada una moyo sana me nikisema nachagua kabila watu ooh mambo ya kizamani .kuna makabila yanajulikana kabisa kurundikana kwa ndungu ni tabia zao nasema ukweli hasa hao uliowataja japo sijui we mwenzangu umetoka wapi.Asilimia kubwa ya makabila toka kanda ya ziwa iyo ni kawaida na ukikutana na yule asiye mnafiki atakueleza ukweli.Halafu na si tunapenda ndoa mno ulipoona watu wooote hao si ungeweka msimamo kabla ya kuolewa. ona sasa watoto wako wataishia kuharibika .haya me sina hata cha kukushauri nakusikitikia tu ila ingekuwa mimi wewe ningehakikisha namshawishi mume tumehamia kwingine tena nyumba ningetafuta mimi hao tuwaache hapo manake kwa ulvyoeleza kuwaondoa hatakwa winchi ni ngumu
 
Mi Naona Toka Mwanzo Ameonesha Kutojal Ndugu Wa Mumewe!
 
Pole sana mdogo wangu! Hiyo kwanza ni familia kubwa eeeh bhana.
Hongera pia kwakuwa mvumilivu.

Na kushauri uongee na mume wako tena na hisi yeye ndio anaweza akawa suluhu wa haya mambo, wala usichoke, ndo si lele mama.
 
Ameipata hyo
RUTTASHOBOLWA
 
Pole sana!
Watu hao uliowataja ndivyo walivyo, vumilia tu maana ndoa umeshafunga
 
Mi pia nina mshkaji mtoto wa mamkubwa hatoki. Alikuja akasema anakaa wiki sasa ana miezi mi 2. Sijaoa na wala sina mke na yy hana shughuli. Hasomi alf hata kazi hatafuti. Tena kwa mizinga huyo. Cjui mwisho wake itakuwaje.
 
ndio kafika huyo
pole............
Mi pia nina mshkaji mtoto wa mamkubwa hatoki. Alikuja akasema anakaa wiki sasa ana miezi mi 2. Sijaoa na wala sina mke na yy hana shughuli. Hasomi alf hata kazi hatafuti. Tena kwa mizinga huyo. Cjui mwisho wake itakuwaje.
 
watu wa musoma ndo zao,yaani nina dingi mdogo mke wake ni wa huko musoma..ukienda kwake ni full wageni wa upande wa mkewe,..mpe pole huyo mdada
 
Pangisha, waachieni nyumba ili mama mkwe aendelee kualika ndugu zake kwa uhuru!
Kama mums anawapenda ndugu zake awape huduma wakiwa kwao lakini sio wakubanebane!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom