mahujaji watasimama ARAFA Alkhamis

Barubaru

JF-Expert Member
Apr 6, 2009
7,161
2,323
Napenda kuchukua nafasi hii adhimu kuwakumbusha kuwa HIJJA rasmi inaanza kesho katika mji wa MAKKAH.

Mahujaji watakuwa Minna na Muzdaliffa katika kufanikisha ibada yao hiyo adhim ya Hijja.

Siku ya Al Khamis kabla swala ya Adhuhuri mahujaji wote watasimama katika viwanja adhimu vya ARAFFAT na siku ya Ijumaa watachinja,

Napenda kuwakumbusha kuwa Siku ya ARAFFA tunaitikadi ni Sehemu, tendo na Muda. Sasa mahujaji wetu wakisimama katika viwanja hivyo basi sie wengine tusiobahatika kwenda tunasisitizwa kufunga.

Hivyo kila aliye na afya basi AFUNGE siku ya Alkhamis.

Mola atupokeleee swaumu yatu na atakabal dua zetu

Dr Hamza
 
thanks kwa taarifa
 
naongezea kwa mwenye uwezo wa kuchinja basi na achinje. (Basi sali na uchinje kwa ajili ya mola wako - al kawthar 2)
 
Vipi kuna taarifa kwamba ugonjwa wa mafua ya nguruwe umeua baadhi ya maujaji.
 
Naombeni mnitajie jina la huyu sheikh Mtanzania aliyekamatwa akiwanga kwenye hija. Itakuwa vizuri iwapo mtanitajia na msikiti anaoswali hapa Bongo. Lazima achapwe bakora kwa kuiaibisha nchi.
Ukweli ni kuwa alikamatwa na vitabu vya kishirikina. Adhabu yake kwa mtu kuingiza vitabu vya kishirikina kama ni Hujaji basi anatozwa dolla 200 na kama raia wa kule au umekwenda kibiashara unafungwa miaka miwili.

Yeye alitozwa US dolla 200.
 
Naombeni mnitajie jina la huyu sheikh Mtanzania aliyekamatwa akiwanga kwenye hija. Itakuwa vizuri iwapo mtanitajia na msikiti anaoswali hapa Bongo. Lazima achapwe bakora kwa kuiaibisha nchi.
Sheikh gani aliyekamatwa huko saudia naomba ututajie na ni kwa sababu gani amekamatwa? Tunawatakia Kila la kheri waliokwenda kuhija Makka na hija njema na Nawatakieni sikukuu njema nasema Eidy El Fitri njema Asanteni sana
 
Boss, hii sio Eid el Fitr, ni Edi el Hajji!
 
Napenda kuchukua nafasi hii adhimu kuwakumbusha kuwa HIJJA rasmi inaanza kesho katika mji wa MAKKAH.

Mahujaji watakuwa Minna na Muzdaliffa katika kufanikisha ibada yao hiyo adhim ya Hijja.

Siku ya Al Khamis kabla swala ya Adhuhuri mahujaji wote watasimama katika viwanja adhimu vya ARAFFAT na siku ya Ijumaa watachinja,

Napenda kuwakumbusha kuwa Siku ya ARAFFA tunaitikadi ni Sehemu, tendo na Muda. Sasa mahujaji wetu wakisimama katika viwanja hivyo basi sie wengine tusiobahatika kwenda tunasisitizwa kufunga.

Hivyo kila aliye na afya basi AFUNGE siku ya Alkhamis.

Mola atupokeleee swaumu yatu na atakabal dua zetu

Dr Hamza

Ninavyoelewa mimi kwa ilmu yangu ndogo ya madrasa, baada ya kufunga inatakiwa kesho yake usali Eid. Hapa Bongo nadhani Eid itasaliwa Juma mosi. Unasemaje hapa sheikh?
 
Sheikh gani aliyekamatwa huko saudia naomba ututajie na ni kwa sababu gani amekamatwa? Tunawatakia Kila la kheri waliokwenda kuhija Makka na hija njema na Nawatakieni sikukuu njema nasema Eidy El Fitri njema Asanteni sana
Ndo na mimi natafuta jina lake kwani vyombo vya habari vilitangaza tu Mtanzania bila ya kutaja jina, ila alikwenda hija akakamatwa akifanya ushirikina.
 
Walijuaje kama hivyo vitabu ni vya kishirikina? labda viliandikwa kwa kibantu tu. Tusioverstated issue bila ya ushahidi.
 
Ninavyoelewa mimi kwa ilmu yangu ndogo ya madrasa, baada ya kufunga inatakiwa kesho yake usali Eid. Hapa Bongo nadhani Eid itasaliwa Juma mosi. Unasemaje hapa sheikh?

Sijui huko Tanzania. lakini tunajuwa kua HIJJA ipo MOJA TU DUNIANI nayo ni Makkah. na Ndani ya Hijja basi nilazima Ufike viwanja vya Arrafat.

Ki taratibu mahijaji wanatoka minna kuja viwanja vya Arrafat na wanatakiwa wafike hapo kabla ya SWALA ya ADHUHURI. na hujaji atakayechelewa kufika hapo na akafika baada ya adhuhuri basi HANA HIJJA. ndio maana wanasema HIJJAH NI ARRAFFAT.

Sasa sisi tusie bahatika kufika kwenye viwanja hivyo basi tunakokoteza kufunga siku hiyo ambapo mahujaji watasimama katika viwanja hivyo. na siku ya pili ni siku ya kuchinja na ndio sikukuu yenyewe.

Upande enu Tanzania sijui kwanini mtachinja ijumaaMosi. Nafikiri ni suala la kuzungumza na mamlaka zenu zenye dhaamana ya kutangaza Siku ya sikukuu.
 
Walijuaje kama hivyo vitabu ni vya kishirikina? labda viliandikwa kwa kibantu tu. Tusioverstated issue bila ya ushahidi.
katika sheria hakuna neno LABDA na katika sheria za kiislam hakuna neno DHANA.

Katika Uislam tunaamini hakuna dhambi kubwa zaidi ya SHIRKI yaani kumshirikisha Mola na vitu vingine. Hujjaji Mtanzania alikamatwa na kitabu kinachomshirikisha Mungu na vitu vingine.

Kwa kuthibitisha hilo na yeye kukubali kosa alihukumiwa. ndio maana kesi yake haikuchukua Muda. Alikamatwa na kitabu hicho, Akakiri kuwa ni chake, akakiri kosa na ndipo Adhabu ikatolewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom