Mahoteli ya Paradise na Oceanic Bay zatekekea kwa moto!

Thamani kamili ya Hoteli ya Paradise ni 10 M USD!

Na ina wafanyakazi 180!

It is a 5 Star Hotel!

Source: BBC Swahili radio
 
Thamani kamili ya Hoteli ya Paradise ni 10 M USD!

Na ina wafanyakazi 180!

It is a 5 Star Hotel!

Source: BBC Swahili radio

Duh, wafanyakazi 180 na wale wanaowategemea wote wataathirika na hili janga. Tuna kazi kubwa, sasa tunasubiri visingizio kibao.
 
Wakuu kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV jumla ya wafanyakazi wa Hotel hizo 2wasiopungua 380 hawana ajira... Mwenyekiti wa Paradise akiongea kwa masikitiko alisema anasikitika mali zake kuungua lakini kinachomsikitisha zaidi ni Wafanyakazi na familia zilizokuwa zinawategemea....
Picha hii anaonekana Bwana Mahdi ambaye ni mkurugenzi wa Hotel hiyo akiwa anafuta machozi
3.JPG (image)
 
Tusker baridiiii hii inasikitisha!

Hivi insurance huangalia pia other parties kama wafanyakazi na familia zao? Na hawa jamaa walikuwa na insurance??

Alafu Tusker baridiiii unatafutwa kule thread TBL wanafungua kiwanda cha bia Mbeya...wanakuuliza kama pia bia ya Tusker itapatikana kule!
 
Inasikitisha sana. Mali zinapotea, na watu wanapoteza ajira. lakini hivi polisi wanasema chanzo ni nini? Tuombe isije ikawa kuna mkono wa yule mzee wa Kandahar.
 
japo bima italipa mafisadi wanaanza kuhujumiana unamjua mmiliki halisi wa Paradise? Kama utajibu hili go beyond that.........
 
Hivi inakuwaje kwa nini hawa wenye hoteli hawajifunzi baada ya mkasa ulioipata hoteli ya Sea Cliff au wanataka walipwe Bima.

shelute mamu
 
japo bima italipa mafisadi wanaanza kuhujumiana unamjua mmiliki halisi wa Paradise? Kama utajibu hili go beyond that.........

Salas mkuu: Mi navyojua familia hii ya kisomali ndo wamiliki, kama una taarifa zingine basi ziweke hapa kwa uhakika siyo kufanya insinuations.
Asante
 
Back
Top Bottom