Mahojiano ya pinda na jk juu ya jairo

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Ngriiiii ngriiiiiiiiiiiiiii simu inaita,JK anapokea simu
JK:Hallow
Pinda:Hallow mkuu za uko
JK:Salama hofu kwenu ninyi mlio uko
Pinda:Mkuu bunge uku limewaka moto hali si shwari
JK:Mmecheki na fire brigade achana na za manispaa ila za watu binafsi kama Ultimate nk maaana zetu zaweza kuja zikawa hazina maji si unalijua ilo?
Pinda:Mkuu sio ivyo ila ni kuwa ile Barua ya Jairo kuomba ngawila ili kuwapoza wabunge wapitishe bujeti imevuja na wabunge wameokaa jamaa aachie ngazi
JK:Yamekuwa hayo mbona kila mwaka hayo utokea nani kavujisha bila shaka atakuwa upinzani hao hasa CDM as wanapenda sifa sana hao.
Pinda;Mkuu kheri ingekuwa CDM tungeweza ipuuzia kwa kusema ni maneno ya upinzani ni ccm wenzetu.
JK;Tunaanza kugeukana wenyewe kwa wenyewe naomba majina yao pls
Pinda :Ni Shelukindo na kwenye kikao cha wabunge wa chama wengi walishadadia Jairo atoswe.
JK:Huyu mama amesahau kuwa yeye ni CCM ngoja nkirudi atapata habari yake sasa issue bado iko moto au umeizima kimtindo
Pinda:Issue bado moto Jairo lazima apigwe chini ikiwezekana na akina Ngeleja
JK:Kumbe mambo mazito ivyo ngoja nkirudi siwezi fanya maamuzi ughaibuni
Pinda:Mbona kuna tetesi kuwa ameandika wakala wa kujiuzulu?
JK:Sound tuu izo ngoja nirudi

Maswali mengine mnaweza kuendelea
 
ngriiiii ngriiiiiiiiiiiiiii simu inaita,jk anapokea simu
jk:hallow
pinda:hallow mkuu za uko
jk:salama hofu kwenu ninyi mlio uko
pinda:mkuu bunge uku limewaka moto hali si shwari
jk:mmecheki na fire brigade achana na za manispaa ila za watu binafsi kama ultimate nk maaana zetu zaweza kuja zikawa hazina maji si unalijua ilo?
pinda:mkuu sio ivyo ila ni kuwa ile barua ya jairo kuomba ngawila ili kuwapoza wabunge wapitishe bujeti imevuja na wabunge wameokaa jamaa aachie ngazi
jk:yamekuwa hayo mbona kila mwaka hayo utokea nani kavujisha bila shaka atakuwa upinzani hao hasa cdm as wanapenda sifa sana hao.
pinda;mkuu kheri ingekuwa cdm tungeweza ipuuzia kwa kusema ni maneno ya upinzani ni ccm wenzetu.
jk;tunaanza kugeukana wenyewe kwa wenyewe naomba majina yao pls
pinda :ni shelukindo na kwenye kikao cha wabunge wa chama wengi walishadadia jairo atoswe.
jk:huyu mama amesahau kuwa yeye ni ccm ngoja nkirudi atapata habari yake sasa issue bado iko moto au umeizima kimtindo
pinda:issue bado moto jairo lazima apigwe chini ikiwezekana na akina ngeleja
jk:kumbe mambo mazito ivyo ngoja nkirudi siwezi fanya maamuzi ughaibuni
pinda:mbona kuna tetesi kuwa ameandika wakala wa kujiuzulu?
jk:sound tuu izo ngoja nirudi

maswali mengine mnaweza kuendelea
nadhani watakuwa wanaskype hawawezi kutumia tigo au zain hivyo hakuna nggggggrrrrrrrrriiiiiiii....
 
KJ: Sitting allowance zenu wanaendelea kuwalipa vizuri?
Ndapi: Ndio mkuu
KJ: Hahaha maaana haa haa maana mi nilijua sasa hawa CDM na hili nalo imekuwa tabu
Ndapi: Tutajitahidi kuwaziba midomo mkuu
KJ: Ngereja yupo?
Ndapi: Yupo mkuu
KJ: Anasemaje mtani wangu?
Ndapi: Amesema nikusalimie
KJ: ha ha ha maana mi nilijua sasa taabu hii, mwambie achukue akili za mbayuwayu achanganye na zake
Ndapi: Haya mkuu
KJ: Mi natandika raha huku bondeni
 
KJ: na vp kuhusu huyo mwenye mvi?
Ndapi: huyu hana issue na nahisi kamtuma huyu bite abwabwaje kuhusu barua ya jairo.
KJ: sasa ww unaonaje tumfanyeje huyo bwana?
Ndapi: hiyo tusiiongelee kwenye simu, maana anaweza aka'tress mazungumzo yetu.
KJ: huyo bwana ananiumiza kichwa kweli ndo maana situlii ikulu, naona heri niwe huku mamtoni.
Ndapi: aagh! mkuu unaniangusha sana, km maamuzi magumu ulichakuwa, wee achana nae ajivue gamba km mwenzio RA.
KJ: mwenzake nipo nae huku nimeshamtuliza ila bado naona kanuna kweli, mwambie mzee 6 apunguze vijembe atazidi kuwakasirisha.
 
KJ: nasika jairo kasema bunge km commedy?
Ndapi: ndio mkuu, nilitaka nimuokoe lakini hata mm alinichefua sana, kaonyesha dharau ...
KJ: sasa ataweza kuongea mambo yetu yale km tutamtosa?
Ndapi: hilo lisikutishe mkuu, vijana wangu wanamfuatilia kwa karibu....
 
Teh he he he hehe! I love Tanzanian people, tho kwamba na matatizo rukuki yanayo iyandama nchi, na memengine mpaka yamebatizwa "Janga la taifa". Lakini upande wa burudani na kujiliwaza upo pale pale. Mungu ibariki Tanzania!
 
Hii kiboko...hata mkuu akiisoma atafurahi na kushangaa kuwa watu anaowaongoza ndio great thinker hivyo...sivyo!

KJ lakini huyo shelukindo mmoja tu ndio umeshindwa kumnyamazisha?
NDAPI hapana mkuu si unajua issue ilishasukwa na wengi toka siku nyingi ikaandikiwa na barua ya kulalamikiwa?
KJ Ah ah ahhhh ndio....hawa vijana wa mjini mjini nilikosea sana kuwaonesha system ikoje wameonja asali sasa wanatamani kula hata zaidi ya wakubwa wao...taabu kweli hawa binadamu hawaridhiki.
 
KJ: Nahawa komedi vipi wapo? maana ha ha ha hawa jamaa huwa napenda sana kuwaangalia nikiwa ikulu pale
Ndapi: Wapo mkuu tena siku hizi wanakitangaza vizuri chama na serikali yako
KJ: Nafikiri kuwapa ukuu wa wilaya
Ndapi: Tena hizi mpya
KJ: Na hawa wenzetu walioanzisha CCJ wanasemaje, yule tuliyemfukuza uspika?
Ndapi: Yupo hana jipya
KJ: Naona wema sepetu naye anaita siku hizi, unaonaje tumpe ubunge wa kuteuliwa?
Ndapi: Huyu anafaa mkuu
KJ: Na Kibonde naye aliniomba tumpe ukuu wa wilaya maana katutangaza vizuri sana kwenye jahazi pamoja na magamba yetu maana sasa mimi nilimwambia achukue akili za mbayuwayu achamnganye na zake
 
kj.huku nakula bata full umeme bila wasi,nyie endeleeni na mgao mi nipo nipo huku kwanzaNDAPI.Mkuu outing nyingine kausha niende mimi nikafanye hata scrubing ya face yangu ivutie kidogo
ha:ahahahahahahahahahahehehehehehehehehehehehehe:2h2heheeheh2heheheheheeeembavu zanguuu
 
kj: yule jairo alikosea badala ya mil 50 kila mmoja angeletewa hawa mamiss na bongo sinema kuwaliwaza bajeti ya wizara ingepita
ndipa; na kina mama angewafanyeje ?
kj; kwani wale vijana wa anda 23 wamesafiri ? angewaleta hao,si unaona haya mambo ya barua yamemuumbua,yule mama si mumewe tulimtosa na huyu kijana eti babake alimuahidi uwaziri kwani yeye Rais ?
ndipa; bosi mara zingine ukisafiri hebu nikaimu urais nami kidogo waniogope
kj;tatizo we wa Sumbawanga bwana naogopa mambo aliyofanya Jonathan kwa Yardua.
 
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
 
Saaaaaaaaaaaaaaaaaaafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..............................,teh teh teh.....
 
Back
Top Bottom