kama ndivyo unavyoamini kuwa anajua kujenga hoja na anaweza kushawishi,mbona hajawashawishi watanzania wamchague kuwa rais alipogombea?ukinijibu nitaamini unachosema!!!!!!!!!!Mtikila anajua kujenga hoja.
Ana ushawishi,
He a kind of a person you dont want to give an audience.
Especially if you have different idealogies.