Hakuna kitu hapo,Mahojiano ya kupanga...hiyo ni danganya toto
Hakuna kitu hapo,Mahojiano ya kupanga...hiyo ni danganya toto
Hakuna kitu hapo,Mahojiano ya kupanga...hiyo ni danganya toto
Sounds nice. Nimezisikiliza hizo clips. Na nimeafiki kwamba Mwakyembe ni intelligent enough katika kutoa arguments. Nimeona katika kutoa maelezo yake sehemu kubwa anajaribu kuwasilisha hoja kama mawazo ya kamati na si yeye kama individual. Ukisikiliza maelezo haya halafu ukaisoma makala ya Mwanakijiji katika gazeti la Tanzania daima unapata kitu kamili. Katika hili nakubaliana na wengi kwamba Lowassa hasafishiki wala habebeki. Iwapo Kikwete ataamua kumpa nafasi kama ambavyo tayari wengi wetu wamenusa, itakuwa ni kwa ukaidi tu.
We adui ya watu wa Kyela umefika na hapa?Sasa Maswali uliyomuuliza Dr Mwakyembe, mbona hakuna utofauti na Mwaswali aliyoulizwa Lowassa na TBC. Unauliza mswali na wakati majibu unayo? au ni kampeni? shame!
Ndiyo, kwa hiyo..........Hili linchi bana yaani Mtu anatumia ubaya wa Mtu mwingine kudanganya,mhojiwa anampigia simu mhoji kwamba nihoji na MIDANGANYIKA INAKUBALIANA NA UDANGANYIFU HUU.
Hakuna mahojiano ambayo hufanywa bila miadi (schedule appointment), lazima mhojiwa ajue atahojiwa kuhusu nini, lakini haimaanishi kwamba atapewa specific questions in advance, anapewa subject ya interview.
Mwakyembe kaombwa afanye mdahalo na mpinzani mmoja kijana.
Akafurahi sana akidai mtu mwenyewe anaijua Kyela kutokea London.
Wengine wanaoweza kuleta upinzani kutokea Tanzania, wakina Mwamunyange, hata hawakuguswa.
Eti mwandishi kasahau.

Swala ni Mhojiwa kumpigia simu Mhoji .... Kuna kitu hapo?
Mwakyembe for presidency! wakikuuzi ingia Chadema uwe running mate wa Slaa
Na sasa hivi, unawajua huwajui waliojitokeza?... ilikuwa ni Mwakalinga vs Dr. Mwakyembe. Hakuna aliyekuwa anajua kwamba kuna wagombea wengine wangejitokeza.
Umejuaje "kijana" wa London ni bora kuliko Mwamunyange?mdahadho ni wa wadhe bora tu.....
Na sasa hivi, unawajua huwajui waliojitokeza?