Mahojiano Live na Shukuru Kawambwa. CLOUDS FM acheni uongo

Kigoma 2015

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
371
93
Jana ktk kipindi cha Power breakfast walitangaza kuwa watakua na mahojiano LIVE leo asubuh na waziri wa elimu kwa hyo watu watume maswali yao yatajibiwa.
Cha kushangaza ni kuwa wakati wao wakitangaza kua wapo LIVE na Dr Shukuru Kawambwa mimi nimemuona LIVE bungeni tena akijibu swali.
G. HANDO na mwenzako BABRA hebu acheni kuwaongopea wananchi. Huo ni UHUNI.
 
Hando ana PhD ya uhuni wakati Barbara Hassan an Masters ya UMBEYA
 
Kama wangekuwa ni live kwanini watu watume maswali kwanza ili yapatiwe majibu?? kwa uwelewa wangu najua live ni hapo kwa hapo anajieleza na wananchi ama wasikilizaji wanamuuliza maswali naye anayajibu hiyo ndio live sasa hii ya kuapewa maswali kwanza alafu aka google ndipo upewe majibu huu ni ujinga. Clouds wao ni wapambe tu wa ccm hawana jipya
 
Mimi niliuliza swali tena nimelituma jana usiku lakini halikujibiwa na matokeo yake anajibu maswali anayoulizwa na G. HANDO eti tuna vyuo vikuu vingapi miaka 50 ya uhuru?.
Siku nyingine msirudie UJINGA huu
 
Wasaliti wote hali yao mbaya kipindi hii, wameshtukiwa.

Clouds jipangeni
 
Bunge limeanza saa tatu power break...... Ni kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa mbili na dak 59...... , clouds tuambieni kama mmedanganya umma au mlikuwa dodoma leo asubuhi physical au kwa teknolojia....
 
Kipindi leo kimekwisha zaidi ya saa 9:30 asubuhi na wakati huo Kawambwa eti alikua LIVE na wakati huo nimemuona LIVE bungeni akijibu swali. Nikashangaa kuwa LIVE huku na huku

Labda ana pacha wake. Jamani kwani hawa Clouds hamjafahamu tu wapo kwenye Payroll ya Nape!
 
Jana ktk kipindi cha Power breakfast walitangaza kuwa watakua na mahojiano LIVE leo asubuh na waziri wa elimu kwa hyo watu watume maswali yao yatajibiwa.
Cha kushangaza ni kuwa wakati wao wakitangaza kua wapo LIVE na Dr Shukuru Kawambwa mimi nimemuona LIVE bungeni tena akijibu swali.
G. HANDO na mwenzako BABRA hebu acheni kuwaongopea wananchi. Huo ni UHUNI.

CLOUDS sio kituo cha habari ila ni wahuni waliokosa kazi wamekusanywa ili wasije wakawa wazururaji........
 
Kipindi leo kimekwisha zaidi ya saa 9:30 asubuhi na wakati huo Kawambwa eti alikua LIVE na wakati huo nimemuona LIVE bungeni akijibu swali. Nikashangaa kuwa LIVE huku na huku

Gerald na Bonge walikuwa Dodoma toka juzi. Kuna uwezekano kabisa walifanya mahojiano kati ya juzi na jana,waka record na kurusha leo,lakini wakaona wawaongopee wasikilizaji. Ukiwa mchunguzi mzuri,interaction za mazungumzo kati ya Hando na waliokuwa studio Dar hazikuwa za ki live live. Kulikuwa na hali ya pose and play kadhaa,Gerald hakuanza na hata salamu kama "habari za asubuhi ndugu waziri" ili hata wasikilizaji wajue yupo 'in real time',na ni kama aliyekuwa studio alikuwa anajua kitakachoulizwa na kitakachojibiwa pia!.Ni tabia zilezile za kuwafanya wa tz wajinga miaka yote!.
 
Hata mimi nimewasiiliza ila kilichoniboa zaidi ni kujisifia kwa kila siku kwa kutoa takwimu za kuendelea kwa elimu wakati hakuna mlinganyo wa miaka na kiwango cha maendeleo
 
Yan watu humu wanasikiliza clouds ili waje kuongeza idadi za posts zao JF..Si muache kusikiliza kwani radio iko moja?acheni unafiki clouds watawanyonya ****** yoo...
 
Yan watu humu wanasikiliza clouds ili waje kuongeza idadi za posts zao JF..Si muache kusikiliza kwani radio iko moja?acheni unafiki clouds watawanyonya ****** yoo...

Knowledge is power. Sikiliza na soma kila kinachotangazwa na kuandikwa hapa Tanzania na abroad ili uwe na wigo mpana wa ku argue. Hata kwenye research,kama hauja probe research problem vizuri na kwa upana wake hautoweza kuja ku conclude na ku recomend vizuri research findings zako. Kwahiyo nakushauri uwe pia unasikiliza na kuzipima hoja za clouds,radio imaan,radio,radio uhuru, radio tumaini,al noor newspaper,kiongozi newspaper,uhuru newspaper,tanzania daima newspaper,mwananchi newspaper n.k. Unafahamu Pope huwa anasoma na kujifunza Quran kwenye ratiba zake za kujisomea. Don't be coservative,otherwise hautokuwa great thinker.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom