Mahitaji ya damu kwa wahanga

chetuntu

R I P
Jan 10, 2011
949
109
Kuna hitaji kubwa la damu hasa group O kwa majeruhi wa Gmboto. Fika kituo cha Muhimbili, ukonga mzambarauni, na msimbazi kuchangia. DONATE BLOOD SAVE LIVES.
 
kweli jamani tujitoe kwa wingi kuchangia ndugu zetu kuokoa maisha yetu kwani mabomu yamenyonya sana damu za ndugu zetu
 
Mimi ni group O, wakatoe Amiri mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, Waziri wa Ulinzi na kujenga taifa, General Davis, Lt. Gen. Shimbo, wanajeshi wote wa nchi hii, mafisadi papa wote na Tume ya Taifa ya Uchaguzi akiwemo na Tendwa ndio wahusika kwenye kutoa damu hiyo lakini mimi sitoi ng'o!!!
 
mkuu hapa tuache politics nenda hospitali ukashuhudie watu wanavyokufa kwa kukosa damu.
 
Mimi ni group O, wakatoe Amiri mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, Waziri wa Ulinzi na kujenga taifa, General Davis, Lt. Gen. Shimbo, wanajeshi wote wa nchi hii, mafisadi papa wote na Tume ya Taifa ya Uchaguzi akiwemo na Tendwa ndio wahusika kwenye kutoa damu hiyo lakini mimi sitoi ng'o!!!

Ni mwendawazimu pekee atakayeweka bifu na wanajeshi wooote. Kuwa logical kidogo. KATOE DAMU!
 
Ni mwendawazimu pekee atakayeweka bifu na wanajeshi wooote. Kuwa logical kidogo. KATOE DAMU!

Sasa mimi nimetoa msimamo wangu na kutoa mapendekezo yangu lakini wewe unanitukana kuwa mimi ni mwendawazimu na kwamba nina bifu na wanajeshi wote. Asante sana, lakini pamoja na matusi yako sitoi damu ng'o na mimi ni group O positive na nina damu ya kutosha kwenye mwili wangu na kwa asilimia kubwa sina UKIMWI. Kutoa kwangu damu ni kuendelea kuusaidia utawala dhalimu, usiojali maisha ya wananchi wake - wakatoe wao kwani ndio chanzo cha matatizo hayo.

Wewe unafikiri wananchi wa Tanzania hawana matatizo mengine makubwa kama hayo? Kama wewe binafsi umewasaidiaje? Je, utaweza kama wewe? Na utawala kazi yake ni nini? Angalia hizo links ndio nafikiri utanielewa!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/111366-mabomu-g-mboto-mwinyi-asema-hajiuzulu.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/111188-rais-kikwete-na-milipuko-ya-mabomu-gongo-la-mboto.html
 
Victims of the Bomb attack need tents, food, man power and blood donation. People have lost a lot of blood and the blood bank is almost running dry. Reports from the Volunteers at the hospital in Ilala and Temeke, Dar Es Salaam (Even if you can not help, atleast Re-post this msg for people to see, someone else might help) I AM PRAYING...
 
ulijitahidi kuokoa maisha ya wengine kwa nguvu zote hasa kwa tangazo lako hili, Mungu akulaze mahala pema peponi. (R.I.P dada yetu)
 
Back
Top Bottom