mahari ni lazima
.........Mahari ni lazima na muhimu kutoa.
Kwa kweli mahari haina umuhimu wowote.it has to be abolished.
Ni kutafsiri vibaya: kusema mahari ni bei ya kumnunua mtu. Si bei! Na ndiyo maana yanaitwa mahari. Ingekuwa bei (gharama) ingekuwa na jina la kibiashara: ingeitwa bei, gharama, nk. Lakini inaitwa mahari. Mahari ni ishara ya nje ya kuonesha kwamba yule aliyetolewa mahari anathaminiwa na mtoaji. Ni alama ya upendo. Acha mtu afanye kazi hata kama ni miaka 20. Ndo mapendo yenyewe hayo!Galileo alishindwa kuoza binti zake kwa sababu alikuwa hana mahali za kuwalipia kwa prospective husbands, matokeo yake akawapeleka kwenye Catholic convents wawe nuns.
Unaona upuuzi wa mahari huu? Huko mitaa ya India watu wanafanya kazi for years and years ili ku save pesa za kuoza binti zao.
Huu kwetu nako mitaa mingine kina baba wanaona kulipa mahari ni kama kumnunua mwanamke, anakuwa property, kama mtumwa, asipoteka maji na kupika anadundwa kama mpira.
Hogwash.
Umuhimu na ulazima wake ni nini?
Symbolically ni ustaarabu kuonyesha shukurani kwa wazazi, lakini sasa hii shukurani na zawadi mara nyingine inafanywa kama deal na inakuwa kama wazazi wanamuuza binti yao.
........Acha ubahili lazima utoe mahari tena ng'ombe 50.
Huu ni utamaduni wa kiafrika, ukitaka kuacha kutoa mahari mkaoe watu wa mataifa mengine sio Africa.
........Acha ubahili lazima utoe mahari tena ng'ombe 50.
Huu ni utamaduni wa kiafrika, ukitaka kuacha kutoa mahari mkaoe watu wa mataifa mengine sio Africa.
Kama symbolically ni kuonesha shukurani kwa wazazi wa mwanamke, wapenda usawa kwa wote watauliza kwa nini washukuriwe wazazi wa mwanamke tu? Wa mwanamme je?
Mbona nshaongea na mzee wako na tumekubalina ni ndama wawili tu....
Halafu janaume likikujia na attitude za "mwanamke lazima upike, ufue, uoshe vyombo na kumuogesha mtoto, nimekulipia ng'ombe 50" utamwambia nini?
.......Nimetolewa mahari mie tena alitoa dau kubwa tu, kwa kuwa ni mwanaume muelewa na mahari anafahamu kama ni utamaduni wetu wala hawezi kunijia na attitude ulizosema hapo juu.
That is besides the question,
Swali limekupa situation hiyo, ungefaywa nini? Ungemwambiaje mwanamme huyo?
.......Ningemwambia kutoa mahari si kigezo cha yeye kunifanya mie mtumwa wa kumfanyia kazi. Kwani mahari nini haswa si pesa tu.....kama vp naweza hata kumrudishia nikiona manyanyaso yanazidi ukiuliza eti kanitolea mahari.
.......Ningemwambia kutoa mahari si kigezo cha yeye kunifanya mie mtumwa wa kumfanyia kazi. Kwani mahari nini haswa si pesa tu.....kama vp naweza hata kumrudishia nikiona manyanyaso yanazidi ukiuliza eti kanitolea mahari.