Kabembe
JF-Expert Member
- Feb 11, 2009
- 2,548
- 1,741
Huyo custordian wa wasomali wote na piracy money anaitwa Guled anakaa kigamboni na alipokelewa na Mwinyi in 90's and was top official under Siad Bare regime.Jamaa anapokea na ku-organise,disburse piracy monies since 90's with goverment cover,anamiliki mtandao wa Mahotel,migahawa na apartments,aliuziwa Morogoro canvass akikiua na kuanzisha Ital shoes huko kigamboni ambako amefanya kama kambi ya wakimbizi na wazamiaji wa kisomali,aliwahi mwambie jamaa yangu ambaye ni dalali kuwa anapesa nyingi na haoni miradi ya kufanya and it is true kwani ana gerejis,viwanda,hotels,tours,carhire,real estates,tenders from government departments etc and ofcourse Kinana and him are buddies.