Mahanjamu ya chuchu...wayajua wewe?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Uzuri wa mwanamke ni maumbile yake..
Tabia yake hata iwe bora vipi siyo "reception" yake...........
Ingawaje tabia nzuri baadaye huja kufunika maumbile yake.......
Lakini, ukweli usiokwepeka ni kuwa "first impression endures in a man's heart........."
Lakini mahanjamu ya chuchu wayajua wewe?

Sura kweli yaweza kunizuzua na butwaa kupigwa.......
Tabasamu lake laweza kunitikisa na magoti yangu kuweweseka.............
Macho yake akinirembulia yaweza kunivuta nami kuvutika naye, hata fikra zangu kughafilika.......
Mashavu yake yakinesanesa huweza kunilainisha....nami nikachanganyikiwa!
Lakini mahanjamu ya chuchu wayajua wewe?

Usafiri wake waweza kunifikirisha na hata kuwaza yasiyowazika
Kiuno chake chaweza kunipagawisha na kuniacha nishike tama.
Wowowo lake halinipi maruerue nikifahamu wenzangu wengi nitatofautiana nao,
Miondoko yake yaweza kutia chachu lakini haijitoshelezi, kamwe......
Lakini mahanjamu ya chuchu wayajua wewe?

Kwangu mie, lazima nikiri hadharani ya kuwa........
Mambo yote tisa lakini kumi kwangu ni chuchu zake.......
Chuchu zake hunipagawisha na huamini ndizo funga kazi.....
Haya ninayasema nikielewa majukumu ya chuchu kwenye mechi........
Lakini mahanjamu ya chuchu wayajua wewe?

Mabusu motomoto kwenye mechi hayahamasishwi na "reception"...
Lakini mechi haikamiliki kama chuchu sijazing'ata mie.............
Sijui kwako imekaaje lakini sioni kama mechi imekamilika......na kusikika ikiiva...
Nakhofu kufafanua kwani sijui una umri gani?
Lakini mahanjamu ya chuchu wayajua wewe?
 
Asikwambie mtu maswala ya chuchu napenda sana kunyonya huuuuwiii!!mpaka nasikia masikio yanaziba halafu liwe gumu!!utanitaka nita duu mpa ile basi!!nikichoka chini nahamia kwenye denda namalizia chuchu full vionjo hakuna kuchoka!!
 
kumbe KakaKiiza ni mtaalamu wa haya majambozi...........
 
Ndugu zangu wa BKB naona mmejifunua, kwenye fani mmewiva ila what if kama chuchu latoa msosi wa mtoto utalitumiaje? Au bado nalo lastahili kunyonywa? Kulitomasa kwa mkono hakuna hamasa kama ile ya kulitawala kwenye mdomo, nahitaji kujuzwa hapo tu!
 
Afu raha yake uyapake mawese, yanakuwa kama mandazi vile.

mafuta ya mawese tena yanatoka wapi, vile?............nipendavyo chuchu ziwe kavu bila manukato yoyote yale just her and me.........and a blissful lovemaking............................that is all I need............
 
Ndugu zangu wa BKB naona mmejifunua, kwenye fani mmewiva ila what if kama chuchu latoa msosi wa mtoto utalitumiaje? Au bado nalo lastahili kunyonywa? Kulitomasa kwa mkono hakuna hamasa kama ile ya kulitawala kwenye mdomo, nahitaji kujuzwa hapo tu!
,BKB kila kitu even Kagera tech,Likiwa na maziwa chuchu utapata wapi wakati chuchu inakuwa imeregea??hao kwetu tunawaita "Entokazi"wanawake waliokwisha zaa no chuchu there bro!
 
kagame.........................la mtoto hilo siyo langu..................nitamwachia mtoto anyonye........
 
mafuta ya mawese tena yanatoka wapi, vile?............nipendavyo chuchu ziwe kavu bila manukato yoyote yale just her and me.........and a blissful lovemaking............................that is all I need............
Rafiki yangu unakosa raha, raha ya matiti yawe yanatereza...ulimi unatereza wala hauchoki.
 
,BKB kila kitu even Kagera tech,Likiwa na maziwa chuchu utapata wapi wakati chuchu inakuwa imeregea??hao kwetu tunawaita "Entokazi"wanawake waliokwisha zaa no chuchu there bro!

mambo yote ni chuchu zake...........
 
Rafiki yangu unakosa raha, raha ya matiti yawe yanatereza...ulimi unatereza wala hauchoki.

ngozi yake ni laini kama mrenda.................na udenda wangu vikichanganyika sioni chumba cha mawese hapo..........khalafu harufu ya mawese mie siikubali sana........napenda niyakute kwenye ndizi haya zilizopikwa na kuiva kisaawia.........
 
Back
Top Bottom