Mahanga alikimbia na kura!!!

LKN Dr Mahanga jana kamuambia Mpendazoe kuwa akifuta hii kesi basi anamuachia Jimbo mwaka 2015 eheheheheeh!Siasa za TZ tamu sana jamani lol!
 
Mheshimiwa Mahanga ameshikwa sehemu nyeti,hapo hawezi kutoka akitoka tu nitajua kuwa majaji wa nchi yetu ni makada wa CCM.
 
Mpendazoe watanzania wenye kiu ya haki, tunakusuport kwa kila hali, mungu atakusimamia baba kaza buti!
 
Kesi imefika pazuri na kwa uhakika kabisa imeshaonesha mwelekeo labda majaji wachakachue, lakini mpiganaji Mpendazo anaonekana alihujumiwa na sasa anastahili kupata haki yake.
 
Back
Top Bottom