Mahanga achangayikiwa!?

sio hivyo utashangaa anashinda na kwa hili jamii nzima itashanga. lema apigwe chini katika kesi ambayo hata anayedaiwa kutukanwa hakuona haja ya kujitokeza kwani alijua asingeshinda lakini cha ajabu kwa sababu ya system mambo yamekuwa hayo.
 
Hivi hakuna kosa au adhabu kisheria kwa mtu kujitambulisha cheo kingine badala ya alichonacho ndani ya chombo cha kutunga sheria
 
ili mahakama ionekane chombo cha haki bila kujali itikadi za watu kisiasa hususani kwa wakazi wa arusha mjini,mahanga anatakiwa atupwe!akishinda kesi hii wengi tutapoteza imani na mahakama zetu!
 
Kutokana na kesi inayomkabili Mbunge wa Segerea Mhe. Mahanga jana wakati akihitimisha mjadala wa muswada wa sheria kuhusu Mamlaka ya udhibiti wa mashirika ya hifadhi za jamii alijikuta akijitabulisha kama anazungumza kwa niaba ya waziri wa fedha badala ya waziri wa kazi na ajira.

Nashauri ni muda muafaka washauri nasaha wamsaidie ili asichanganyikiwe zaidi!

Unajaribu kuunganisha kesi na majukumu ya MAHANGA BUNGENI. Hujatutendea haki tusiojua mwenendo wa kesi yenyewe. Tafadhali njoo na up-dates za kesi angalau kwa manufaa ya sisi Bush-stars
 
...kwa mahakama za Tz, mi ni Tomaso.

Kweli,majaji wana majina makubwa na heshima zisizo stahili,wananiuzi kwa unafiki wa kujifanya wanatetea haki kumbe ndio wanyonga haki.JAMANI TUSHIRIKI KUTOA MAONI NA KUBADILI UTARATIBU WA KUTEUA MAJAJI MAANA WANAMTUMIKIA ALIYEWAPA HUO UJAJI
 
- Well, Great Thinkers tujifunze kujadili kwa kutumia haki na fairness, kwamba Mbunge Mahanga amechanganyikiwa it is far from the truth jana nilikuwa naye he is just fine na si kweli kabisa, innocent until proven guilty hajahukumiwa bado kesi ipo kwenye mikono ya sheria, sasa common sense ni kusubiri matokeo kwanza badala ya kujaribu ku-influence matokeo.

- Mahanga ni Mbunge wangu, nina makazi yangu kata ya Kinyerezi, jimbo la Segerea sasa mambo kama haya muwe mnatuachia tuwafahamisheni uwezo wa mbunge na udhaifu wake, Mhanga has done a lot kwa jimbo la Segerea, ikiwa ni pamoja na kulipunguza sana tatizo la maji, amejaribu sana kurekebisha bara bara na mara ya mwisho nilimsisitiza kutengeza bara bara ya kutoka relini Majumba Sita kwenda Segerea akanielimisha sana kwamba kwa nini bado haijatengenezwa na kwamba ana uhakika kuwa itatengenezwa.

- kwamba amechanganyikiwa, sio kweli he is fine unless kuna something else I am missing here!, tuwe wakweli tuachane na upotoshaji.

William.
 
Wewe nae unakuwa kama vile hujui kiswahili, mbona lugha ya kawaida sana hiyo? Aftar all MBUNGE WAKO NI MWIZI WA KURA, IMAGINE MBABA KAMA YULE NA KITAMBI CHAKE ETI ANAKIMBIA NA MASANDUKU FEKI YA KURA Duh! Kuwa nae bungeni isiwe tabu!
 
Wewe unaomba kura kwa Mahanga sasa unamtetea mwizi hata wewe nimeamini ni mwinzi hutatusaidia
 
- Innocent until proven guilty!, ni very simple common sense zaid!, I mean siwezi kumuhukumu mtu bila facts kwanza mahakama ikisema ni mwizi kweli, tizama yule Mzee IMF alivyofanyiwa na facts zilipotoka, ungetegemea kwamba tunajifunza kumbe wapi!

William @Dodoma!
 
Wewe nae unakuwa kama vile hujui kiswahili, mbona lugha ya kawaida sana hiyo? Aftar all MBUNGE WAKO NI MWIZI WA KURA, IMAGINE MBABA KAMA YULE NA KITAMBI CHAKE ETI ANAKIMBIA NA MASANDUKU FEKI YA KURA Duh! Kuwa nae bungeni isiwe tabu!

- Ni mbunge wangu kwenye level ya Ubunge I support him kwa sababu amelifanyia jimbo langu mambo mengi sana, tabia zake binafsi sizijui na sio my concern!

William @Dodoma!
 
- Well, Great Thinkers tujifunze kujadili kwa kutumia haki na fairness, kwamba Mbunge Mahanga amechanganyikiwa it is far from the truth jana nilikuwa naye he is just fine na si kweli kabisa, innocent until proven guilty hajahukumiwa bado kesi ipo kwenye mikono ya sheria, sasa common sense ni kusubiri matokeo kwanza badala ya kujaribu ku-influence matokeo.

- Mahanga ni Mbunge wangu, nina makazi yangu kata ya Kinyerezi, jimbo la Segerea sasa mambo kama haya muwe mnatuachia tuwafahamisheni uwezo wa mbunge na udhaifu wake, Mhanga has done a lot kwa jimbo la Segerea, ikiwa ni pamoja na kulipunguza sana tatizo la maji, amejaribu sana kurekebisha bara bara na mara ya mwisho nilimsisitiza kutengeza bara bara ya kutoka relini Majumba Sita kwenda Segerea akanielimisha sana kwamba kwa nini bado haijatengenezwa na kwamba ana uhakika kuwa itatengenezwa.

- kwamba amechanganyikiwa, sio kweli he is fine unless kuna something else I am missing here!, tuwe wakweli tuachane na upotoshaji.

William.

Stop this gibberish trying to defend that useless old man,he is just good for nothing!!
Yaani Ubungo wawe na Mbunge na sisi Segerea tuseme tuna Mbunge? Kwenye Jimbo la Segerea ni Kinyerezi Peke yake? Mimi nimeisha Uwanja wa Ndege na sasa nina ishi Kiwalani Kwa Gude vyote hivi ni Vitongoji ndani ya Jimbo la Segerea,sijawahi Kumuita huyo Mbunge anayeitwa Mahanga hata Mara Moja ukiacha 2005 na 2010 wakati wa kubembeleza kula let alone kuleta Maendeleo!!!

Sijaona hata mradi mmoja uliotejelezwa huku kwa hiyo nikikusikia unapiga Poroja kumtetea huyo Mbunge wa NEC unanitibua tu!!
Ni mwizi tu wa Kura,hupendi kusikia hili najua lakini thats just it,Chungu Kumeza lakini inatibu!!
 
- Ni mbunge wangu kwenye level ya Ubunge I support him kwa sababu amelifanyia jimbo langu mambo mengi sana, tabia zake binafsi sizijui na sio my concern!

William @Dodoma!

huna lolote we mfia tumbo tu, politically you are nothing but the clone of your father hope u remember the 1995 saga. We ni mtu hatari sana unaweza kutetea uovu kisa ubunge wa eac, kwako every vote counts ya mwizi na ya mtu mwema.
 
- Well, Great Thinkers tujifunze kujadili kwa kutumia haki na fairness, kwamba Mbunge Mahanga amechanganyikiwa it is far from the truth jana nilikuwa naye he is just fine na si kweli kabisa, innocent until proven guilty hajahukumiwa bado kesi ipo kwenye mikono ya sheria, sasa common sense ni kusubiri matokeo kwanza badala ya kujaribu ku-influence matokeo.

- Mahanga ni Mbunge wangu, nina makazi yangu kata ya Kinyerezi, jimbo la Segerea sasa mambo kama haya muwe mnatuachia tuwafahamisheni uwezo wa mbunge na udhaifu wake, Mhanga has done a lot kwa jimbo la Segerea, ikiwa ni pamoja na kulipunguza sana tatizo la maji, amejaribu sana kurekebisha bara bara na mara ya mwisho nilimsisitiza kutengeza bara bara ya kutoka relini Majumba Sita kwenda Segerea akanielimisha sana kwamba kwa nini bado haijatengenezwa na kwamba ana uhakika kuwa itatengenezwa.

- kwamba amechanganyikiwa, sio kweli he is fine unless kuna something else I am missing here!, tuwe wakweli tuachane na upotoshaji.

William.

Mkuu unatafuta kura yake tu,Makongoro amechanganyikiwa hivi mtu uliyenormal unaweza kweli ukasahau position yako? Lini makongoro kawa Naibu waziri wa fedha?
 
- Innocent until proven guilty!, ni very simple common sense zaid!, I mean siwezi kumuhukumu mtu bila facts kwanza mahakama ikisema ni mwizi kweli, tizama yule Mzee IMF alivyofanyiwa na facts zilipotoka, ungetegemea kwamba tunajifunza kumbe wapi!

William @Dodoma!

Le baharia @Dodoma hatuzungumzii wizi hapa! Tunazungumzia kuchanganyikiwa labda pengine hile kesi ndio inamchanganya,hivi na wewe katika kuomba kura ushawahi sema uchaguliwe kugombea ubunge wa africa magharibi? Angekua mchanga kisiasa kama sioi(Alisema arumeru ni mkoa) tungemuelewa lkn yeye ni mzoefu sana ktk medani za siasa,hv unataka kuniambia kweli kabisa yupo serious mpaka amesahau yeye ni nani?
 
Back
Top Bottom