Mahama sasa at least

Aloysius

Member
Mar 1, 2011
80
9
Eti ule muswaada wa 20011 wa Uongozi wa mahakama vipi, unaompatia Mkuu wa mkoa uwenyekiti katika tume ndogo ya nidhamu, haileti ka mockery kidogo kwa mahakimu, haileti ka judicial interference. Au kako bomba?
 
nina wasiwasi wakati wanapitisha ule mswada walikuwa wanafikiria kwa ............................................... Watu wote wenye akili timamu siku ile walikataa akiwemo Pinda. Yaani judge akifanya kosa anaenda kushtakiwa kwa mkuu wa mkoa?????????????Mkuu wa mkoa anachaguliwa na nani?kumbe naye mwanasiasa???wanaleta siasa mahakamani watanzania tegemeeni maamuzi yatakayo kuwa yamebase kisiasa akifanya kazi kwa interest ya watu fulani!!!!!!!!! Huku ni kuingilia uhuru wa mahakama sidhani hata kama NI CHECKS AND BALANCE
 
Back
Top Bottom