Mahalu na Kashfa ya Ubalozi wa Tanzania Italy

Status
Not open for further replies.

Josephine03

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
752
302
Nimekuwa nikisikia hii skendo tangia nilipopevuka katika maswala ya Nchi na uongozi wake, ninachoomba kwa yeyote mwenye uelewa wa hii skendo atuwekee hapa jamvini ili sisi tuliombali na uelewa tupate mwangaza.

Angalizo: kama ilishajadiliwa pia naomba huo uzi niufatilie natanguliza samahani na shukrani kwa kunielewa. Takbir!!!!!!!
 
Ninachojua hata JK alitoa baraka zote za huo ufisadi wakati akiwa waz-ri wa mambo ya nje
 
Kuna thread imeelezea kuwa Kikwete anafahamu issue nzima ya Italy
 
kwani kauliza kama jk alihusika ama hakuhusika mbona mnakua washabiki zaidi wa kudandia mambo,kama huna uelewa na cha kumsaidia bora upige kimya..
 
kwani kauliza kama jk alihusika ama hakuhusika mbona mnakua washabiki zaidi wa kudandia mambo,kama huna uelewa na cha kumsaidia bora upige kimya..

Unamajibu ya chooni kama jina lako kwani mwanzo wa stori si ni hints haya unganisha uje na hiyo aliyouliza
 
kwani kauliza kama jk alihusika ama hakuhusika mbona mnakua washabiki zaidi wa kudandia mambo,kama huna uelewa na cha kumsaidia bora upige kimya..

Usijali na zenyewe ni chanzo cha habari nafikiri ni kati ya ninayotaka kusikia
 
Mods unganisha huu uzi na ule unaosema JK alijua ununuzi wa nyumba ubalozi wa Italy bana maana kujadili kitu hicho hicho kwenye thread mbili tofauti inabore bhana!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom