Mahali pa Biashara panauzwa

Maquiseone

Member
Feb 24, 2008
40
1
Hey wakuuu,

Kuna mahali pa biashara panatolewa kwa mtu pakiwa na kila kitu, Computers 11 zikiwa zinafanya kazi na zina network na zina wasiliana, na kuna simu za ndani ina reception, General office, Pool Place, Utility place na three cubics for the net PCs.

Ofisi ipo Lindi Mjini.

Office ipo funished ina kila kifaa cha office ya kisasa na tender docs zinapatikana wasiliana kwa e-mail hii lijonjo@hotmail.com au maquiseone@hotmail.com

Deadline ni Ijumaa ya tarehe 11
 
Ametoa wazo wape nafasi wenye kuongea kwa matendo sie wa maneno twende thread za wakubwa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom