Mahala Pema PEPONI

Nyumbani kwa Bujibuji
62010_289150581186799_2017389084_n.jpg

injoka sya masiku aga sitikuluma

Kufwana jogwe ROBINSON CRUSOE
 
Ufyeke hizo nyasi unless zitaota hadi kitandani usicheze na snakes lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

Hapo juu kidogo "I wish ningekuwa naishi hapo"

Hapa chini "Ufyeke nyasi....."

Naamini ukikaa hapo mwaka mmoja tu mazingira yatakuwa yameharibika tayari. Nyoka si adui mkubwa kiasi cha kufanya uharibu uoto wa asili.

Tuna watu wanachuki kubwa hata nyoka wanawaogopa. Can you imagine watu wazima na akili zao wamethubutu kubomoa kaburi la mtoto mchanga kwa kuwa tu si wa dini yao? Sasa bora kuishi na nani kati ya NYOKA na WABOMOA KABURI?
 
Duh bora hao masnake

Back
Top Bottom