Mahakamani, hata kama haitalipa!

Sijali

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
2,586
1,678
Tunajua Tanzania mahakama ziko influenced na Wanasiasa. Owongo kwamba mahakama ziko huru.
Hata hivyo, namshaurui Dr Slaa afungue kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi-au haiwezekani kikatiba?
Kama haiwezekani, kama walivyosema baadhi hapa, basi kweli katikba yetu pia 'imechakachuliwa'
 
Back
Top Bottom