Mahakama yatoa onyo la pili mgomo wa madaktari

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416
Mahakama kuu ya Tanzania Kitengo cha kazi jana imetoa onyo kwa Chama cha Madaktari Nchini (MAT) kuzingatia amri ya Mahakama hiyo iliyotolewa siku ya Ijumaa tarehe 22 Juni 2012 ya kusitisha na kutoshiriki katika mgomo na kumtaka Rais wa Chama cha Madaktari kutangaza kutii amri hiyo kupitia vyombo vya habari.

nakala ya onyo hii hapa

[h=2]IN THE HIGH COURT OF TANZANIA
LABOUR DIVISION OF THE HIGH COURT
AT DAR ES SALAAM

MISCELLANEOUS APPLICATION NO. 73 OF 2012
ATTORNEY GENERAL ................................. APPLICANT
VERSUS
MEDICAL ASSOCIATION OF TANZANIA (MAT) .............. RESPONDENT

COURT ORDERS[/h] I have heard both parties orally. From the submissions, it is evident that the respondent's President was served late i.e yesterday with the exparte interim injuction order. The respondents are heraby warned that they should comply with court orders. It's hereby ordered that the respondent should comply with court orders; and the President should address the compliance through the media. It is so ordered.

S.C. Moshi
JUDGE
26/06/2012
 
Siasa na maisha ya Binadamu ni vitu viwili tofauti.

Hakuna mgomo mbaya kama mgomo Baridi, kwani unaweza kumlazimisha Ng'ombe kwenda mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji.

Hivyo hata hawa Watumishi Mahakama inaweza kuwalazimisha kwenda kazini lakini wakasaini na kisha kutokufanya kazi inayotakiwa na huwezi kumshika mkono kumwambia "Haya mwandikie huyu dawa, mchome sindano, mfanyie operesheni nk. nk. nk."

Kinachotakiwa ni hekima kutoka pande zote mbili na kugundua madhara yanayopatikana kutokana naubabe wanaofanya katik ya Serkali na Madakitari.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
kweli kabisa ulichokisema.
 
Anajitia aibu tu Jaji mzimaa hata logic haelewi....MAT wameshasema hawahusiki lolote na mgomo huu. Mgomo unaratibiwa na jumuiya ya maDaktari, kama wanatoa amri juu ya mgomo basi waelekeze kwa jumuiya ya maDaktari...lakini hawa bado tu wameng'ang'ana na MAT!
 
anajitia aibu tu jaji mzimaa hata logic haelewi....mat wameshasema hawahusiki lolote na mgomo huu. Mgomo unaratibiwa na jumuiya ya madaktari, kama wanatoa amri juu ya mgomo basi waelekeze kwa jumuiya ya madaktari...lakini hawa bado tu wameng'ang'ana na mat!

mchezo wa kujificha huo hautowasaidia, kama ndio viongozi wa mat wajiuzulu mara moja
 
tatizo hii nchi hakuna anayetaka kuwajibika ndio maana serikali imekua ikikimbilia mahakamani kila siku........
 
mchezo wa kujificha huo hautowasaidia, kama ndio viongozi wa mat wajiuzulu mara moja

wanaotakiwa kujiuzulu ni Viongozi wote wa Serikali, Kuanzia Raisi hadi mjumbe wa nyumba kumi; kwani haiwezekani kila mara tuwe na migomo isiyo kuwa na maana kisha wao wanaingiza Siasa. unapokimbilia Mahakamani katika suala linalohusu maisha ya Binadamu hapo elewa kuwa tayari umeingiza siasa.

Mahakama ina utaratibu wake, ukipeleka kesi leo itapangiwa tarehe, hivyo ndivyo inavyokuwa kwa hili suala la madr. wakipangiwa tarehe ina maana suala lao halijapata mwafaka na hata wakienda kazini hawatafanya kazi kwa moyo mnyofu hivyo ni hatari ya kuweka mkasi katika tumbo la mgonjwa wakati wa operesheni.

TUWE MAKINI SANA KATIKA SUALA LINALOHUSU UHAI wa BINADAMU TUSICHANGANYE na SIASA.

KINACHOTAKIWA ni SERIKALI na MADR. KUKETI NA KUPATA SULUHU na SIYO KWNDA MAHAKAMANI.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Sasa kwa kumteka mwenyekiti wa Jumuiya ya Madktari na kumpa kipigo kikali Dr. Steven Ulimboka, nadhani madaktari wametibuliwa upyaaa.....
 
Sasa kwa kumteka mwenyekiti wa Jumuiya ya Madktari na kumpa kipigo kikali Dr. Steven Ulimboka, nadhani madaktari wametibuliwa upyaaa.....

Hao madaktari tunaishi nao huku mitaani na wanafahamika??
 
Huyo Judge wa magamba anatapatapa, inampasa angetoa court order ya kumzuia JK kusafiri kwenda Canada ili atulie hapa nchini ku solve mgogoro aliouanzisha.
 
tatizo hii nchi hakuna anayetaka kuwajibika ndio maana serikali imekua ikikimbilia mahakamani kila siku........

Si inajua itaamlisha, mahakama ni kichaka cha mafisadi na mtandao wao, kwa wanyonge ndio inageuka kuwa mbwa mwitu.
 
Back
Top Bottom