Mahakama yataka Chenge akamatwe, Kikwete ambeba!

wakuu, hivi ni kweli hiyo arrest warrant imetolewa mahakamani leo au ni Halisi ameamua kuigeuza siku ya leo aprili mosi?
lets just wait and see.
 
Hiyo arrest warrant imetolewa kwa kutofika mahakamani au? HALISI kama upo hapo Kisutu Mahakamani tupe details tafadhali.
 
Hayo ndio maigizo ya serikali ya CCM !!!!

Hio arrest warrant iliyotolewa nadhani itakua valid kwa one year, so kwa sasa iko open na watamtafuta weee mpaka DEC, ndio wamkamate !!!!

Anyway way nitamalizi hili igizo baadae !!!
 
Pole JK, mie nadhani ni namna ya kujisafisha kwa JK kutokana na comments zake juu ya Mramba na Lowassa, otherwise Chenge ni mkorofi

MUNGU Ibariki Tanzania
 
Halisi

Nadhani unachangamsha baraza tu hapa! Chenge ana kesi gani Kisutu, ukiacha ile ya Bajaj iliyo kwenye mahakama ya Kinondoni?
 
Huyu Hakimu anataka kuingia katika vitabu vya historia kwamba alimchachafya Chenge na vijisenti vyake. It is all hot hair!
 
Jamani, hili suala la Chenge kwa hakika linatia kichefuchefu. Mtu ameua lakini bado yupo tu kwenye nafasi zake zote ndani ya chama na hata bungeni?

Kwa kweli Chenge alipaswa ajiuzulu katika nafasi zake zote. Lowassa naye na pia Mramba walipaswa wajiuzulu katika nafasi zao za ubunge na ndani ya chama hadi masuala yao yatakavyoshughulikiwa. Sijui tunaenda wapi. Mimi ninayo hofu. Tutakuja shuhudia makubwa yakitokea katika nchi hii.
 
Chadema Mwendo Mdundo Fichua Mafisadi wahukumiwe na wananchi wapenda nchi yao.
 
Last edited by a moderator:
Ee mungu wetu wa mbinguni, sikia kilio cha watoto wako, tutoe huku misri(ccm) na kutupeleka kaanani na kiongozi wetu akiwa silaa. Ameni.
 
Hiyo issue ya rada hata mahakani haijawahi kufika. Kesi yake ya sasa nafikiri ni ile ya kugonga kibajaji!!

Na siyo tu kugonga na kuua watu wawili, bali pia ku-tender fake document, hati ya Bima. Hili linamfungisha moja kwa moja!!
 
Akifika mahakamani atadai kuwa hakuweza kufika kwa sababu alikuwa na ugeni pamoja na kampeni na JK. Sasa sijui nani anatakiwa ku-enforce laws.
 
kikwete ndiye fisadi kinara hapa tanzania.... alipata uraisi kwa ufisadi mkubwa sana.
 
Tushawazoea hao..Wote ndo hao hao,wanatuzugazuga tuu waonekane watu fair wakati lao moja...
Wananchi wafanye maamuzi sasa ya kuondoa hii system atleast hawa miungu watu waondoke tuanze maisha mapya.:eyeroll2:confused2:
 
Nimemuona Mkulu Chenge akiwahutubia wakazi wa Bariadi kwa Raha zake
 
Back
Top Bottom