Mahakama yapiga marufuku condom fupi

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,122
534
Mahakama nchini Afrika ya kusini wamezuia serikali nchini humo kununua condom millioni 11
zilizotengenezwa china.
Kwa mujibu wa gazeti la Beeld la nchini Africa kusini Limeeleza kuwa condom hizo ni fupi sana
Na wananchi wa nchi hiyo hawataweza kuzitumia.(Gazeti la mwananchi leo)
 
Ukiona serikali imefanya uamuzi kama huo ujue nchi inajua kuwa watu wake wana 'vitendea kazi' ambavyo si haba. Jamani mmeisikia hiyo, mnaotaka 'vitendea kazi' vya maana, channel hiyo imeshatoka hewani. Kazi kwenu
 
Mimi naona wangezikubali tu halafu kwa wale wauzaji wawauzie watu according to the size ya mtumiaji!
 
Wachina bwana ...wanatulinganishaje kimaumbele na wao ...Kinachofaa uchina ....haina maana kinafaa africa..!! Wangewahi ku expirince ... wangejua what it all means ...!!
 
Kunawakati India ililalamika kwamba kondom ni kubwa hivyo zitengenezwe ndogo,
so its means ziwe zinaandikwa size.HII kali
 
Mwanzo tulielezwa ni kinga ya ukimwi,sasa ishakuwa ni biashara.
Wajinga ndio waliwao.
 
Usishangae kusikia consignment imekuwa diverted Dar na wajanja wanaziuza kama njugu Kariakoo mnakumbuka sakata la Always?.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom