Mahakama yalitia hatiani MwanaHalisi

Kaka Kubenea pole sana,

Binafsi nimekuwa nikipingana na wewe siku za karibuni, kuwa wewe ni mwanajehi na inabidi uwe mwanagalifu sana, kwani madhara yake yanaumiza wengi tu wakiwamo wasomaji wako.

Nimekuwa nikimkandia kwa kumpa changamoto asiweke lango lolote la maadui kumshinda, tangu alipofungiwa, tindikali na hili la sasa, lazima tuangalie ethics za kazi.

Mahakama jamani tusiilaumu, kama Mramba na Yona tulishangalia leo tulie??

Ni wakati mzuri wa kjipanga na kukwepa hali kama hizi for future.

wala washabiki wa Kubenea, jaman mtu akifanya makosa kulinda linda ni kumpa kichwa.....kamanda huyu akitoweka, damu yake iyakuwa juu yenu.Morogoro bado hujjibi zile tuhumua-USHAHIDI NDIO DEAL,

wale wote fulani fisadi, toeni vithibitisho, tukishindwa , tufagie CCM WOTE BILA KUJALI KILANGO WALA KALANGO!
 
Hizi habari zina ukweli?

Sidhani kama habari hizi zina ukweli ; mbona muanzisha thread amemtaja wakili wa Rostam [Fungamtama] lakini ameacha kumtaja huyo judge wa mahakama kuu aliyetoa hiyo ex-parte hukumu? Ingekuwa kweli ungeona jinsi wakina GT wanavyoshangilia humu!
 
Hatimaye kwa nguvu za Mwenyezi Mungu alie hai mahakama kuu ya tanzania imetoa hukumu ya kesi kati ya kubenea na rostam aziz,mahakama imetoa hukumu hio tar 29 april,imemtaka kubenea amlipe rostam bilioni tatu pamoja na gharama za kesi kwa kumchafua hasa kuhusiana na richmond thanx God.its me fisadi mtoto and my friend Dikteta

Nguvu za Mungu ama za pesa yetu mliyo tufisadi?
 
Hivyo ndio kusema kwamba yule tunayemwamini kwamba ana inside information regarding Rostam na Richmond ameshindwa..Je wale wenzangu na mie wa makelele pwapwapwapwa...

Kwahiyo Kasheshe unaamini kuwa Richmond haina uhusiano wowote na Rostam?
 
Sijawahi kusikia kesi ya defamation ikiendeshwa kwa kasi ya aina hii hapa nchini. What does it mean? Sasa mkitaka kujua nguvu ya ufisadi ndiyo hii. Na bado tutashuhudia mengi zaidi. Kama hatutaki kupambana mafisadi watatumaliza! Amkeni jamani.

Ukiangalia hukumu ya kesi ilitoka tarehe 30/4/2009; na bila shaka lengo kuu la hukumu hiyo ni kutoa onyo kwa wale wanamuhusisha RA na Richmond, na pia kumsafisha RA.
Bila shaka ya Mengi kumuhusisha tena RA na Richmond yalitolewa baada ya hukumu, hivyo jitihada za RA na mahakama kumsafisha zimeingia doa, na nafikiri anachopaswa sasa RA kama ana ubavu ni kumpeleka mzee Mengi kwa kashfa hiyo hiyo ya Richmond kama alivyompeleka Kubenea.
 
Sidhani kama habari hizi zina ukweli ; mbona muanzisha thread amemtaja wakili wa Rostam [Fungamtama] lakini ameacha kumtaja huyo judge wa mahakama kuu aliyetoa hiyo ex-parte hukumu? Ingekuwa kweli ungeona jinsi wakina GT wanavyoshangilia humu!

Ni jaji Makaramba. Hiyo ni kwa mujibu wa Michuzi.
 
Kwahiyo Kasheshe unaamini kuwa Richmond haina uhusiano wowote na Rostam?

!............
Aah unajua kesi ilikuwa ya nini? Madai,kashfa au unafyatuka tu Rostam hana uhusiano na Richmond.nani kakwambid kuwa Rostam alifungua kesi kwa sababu alihusishwa na Richmond?
 
- Kama kweli kuna hiyo hukumu kwani tatizo ni nini? Sheria si iko wazi kwamba Kubenea anaweza kumlipa Rostam as of his uwezo ambao ni shillingi moja kwa mwezi, mpaka ziishe Billioni tatu, au walibadili sheria za madai?

FMEs!
 
Maskini Saed Kubenea, Aliupanda kwa pupa Mchongoma sasa Kuushuka Nndio Ngoma.

Yuko wapi Slaa? Zitto, Dj Mbowe, Tundu Lissu, na wengi waliokuwa wanakupa Mabomu Uripuwe sasa Limekuripukia Mwenyeo tena Usoni umeshasinyaa kwa ukaidi wako, haya basi nikuburudishe kwa kipande kimoja cha nyimbo za zamani za Taraab

MAAFA YAMEMFIKA DUWA TUMUOMBEENI

KILA ANALOLISHIKA HALI YAKE TAABANI
 
Utawajua tu. Wameanza kwa aghafla bin vuu................

Kubenea usijali, ujumbe ulifika. Siku moja kesi itarudiwa upya......

_________________________________________________________________

zahir salim
user_online.gif

zahir salim has no status.
Member
Join Date: Fri Mar 2009
Posts: 22
Thanks: 0
Thanked 8 Times in 7 Posts
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Credits: 56,025

icon1.gif
Re: Mahakama yalitia hatiani MwanaHalisi
Maskini Saed Kubenea, Aliupanda kwa pupa Mchongoma sasa Kuushuka Nndio Ngoma.

Yuko wapi Slaa? Zitto, Dj Mbowe, Tundu Lissu, na wengi waliokuwa wanakupa Mabomu Uripuwe sasa Limekuripukia Mwenyeo tena Usoni umeshasinyaa kwa ukaidi wako, haya basi nikuburudishe kwa kipande kimoja cha nyimbo za zamani za Taraab
 
Nilisema hapa siku moja kiwa Kubenea analipuka hovyo na baadhi ya watu mkamuona ni mpiganaji shupavu.mkasema mtapigana nae mpaka kufa,ata kama mna mpiganaji shupavu lakini lazima awe na mbinu za kipigana sio kutoa kichwa wakati lisasi zinalia.Kubenea ambae kaponzwa na akili iliokosa elimu ya kutosha amekuwa akiingizwa tu kichwa kichwa na kina mwak,anaandika bila ata kufata ethics za uandishi wa habari,na ninawaakikishia hapa kuwa hakuna kesi ata moja atashinda kati ya zote 6alizofunguliwa.....chukueni makala zake waombeni waandishi waliobobea wazipitie watawaambieni jinsi alivyokosa umakini wa kazi zake...atafungwa kwa kushindwa kulipa na tutamlipia shs2500 kila siku atakapokuwa jela.Mungu ibariki Tanzani
 
Wewe kula hizo fedha za Rostam, nenda msalani, kalale.
Wengi watafungwa, wengi watafilisiwa, wengi watataifishwa mwisho watanzania tutashinda.
street justice will work out.
 
huyu s.o.b vipi? Moderator, humu ndani ktk jf tumeingiliwa na watu wanaovuta. Inafaa kuwafanyia vetting ya nguvu. Hukumu tarehe 29 aprili, siku 12 zilizopita hakuna hata gazeti moja la rostam lisitoe hizo habari?
hukumu haitoki hapo kwa hapo jaji hukaa na kuiandika lazima Itawafikia walengwa ndani ya wiki hadi siku kadhaa. Inaandikwa inachapwa halafu inatumwa kwa wahusika.
Ipo www.mwanachi.co.tz,www.freemedia.co.tz au michuziblog.IPO HABARI HIYO.
 
Huyu s.o.b vipi? Moderator, humu ndani ktk JF tumeingiliwa na watu wanaovuta. Inafaa kuwafanyia vetting ya nguvu. Hukumu tarehe 29 Aprili, siku 12 zilizopita hakuna hata gazeti moja la Rostam lisitoe hizo habari?
Moja ya sifa kubwa ya JF ni kutosubiri habari kutoka magazetini, zaidi magazeti mara kwa mara wamekuwa wakichapisha habari zao toka hapa JF
 
Mwisho wa yote, kama Taifa only truth will set us free na sio ufisadi.Like any other fight that we know, some people will pay heavy price. Good thing is that RA is now known by many kuwa yeye ni nani. Lets hope huu sio mwisho wa Mwanahalisi.
 
Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai inaruhusu Jaji mkuu kuongeza idadi ya majaji (quoram) wanaosikiliza kesi mahakama kuu maana kwa kawaida ni jaji mmoja! Anaweza kufanya hivyo kama akiridhika kwa uzito wa kesi iliyopo mahakamani. Nadhani kwa kesi kama hii alipaswa kufanya hivyo maana ukisoma hukuma ya Makaramba utaona kuna tatizo! Sheria zetu zinahitaji mabadiliko makubwa hasa kwa upande wa madai pamoja na uandishi wa habari
 
Atazito kwa wale waliokuwa na wanaoendelea kumtuma yaani kile chombo cha kutolea sauti kwenye redio au namba ilyo baada ya tano.

nadhani ni ATAZITOA

Jamii Forums...Where we dare to talk Openly!

Sema live mzee..SPIKA wa bunge letu SITTA....Whats wrong with that?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom