Mahakama yalitia hatiani MwanaHalisi

Fisadi Mtoto

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
639
79
Hatimaye kwa nguvu za Mwenyezi Mungu alie hai mahakama kuu ya tanzania imetoa hukumu ya kesi kati ya kubenea na rostam aziz,mahakama imetoa hukumu hio tar 29 april,imemtaka kubenea amlipe rostam bilioni tatu pamoja na gharama za kesi kwa kumchafua hasa kuhusiana na richmond thanx God.its me fisadi mtoto and my friend Dikteta
 
Last edited by a moderator:
Huyu s.o.b vipi? Moderator, humu ndani ktk JF tumeingiliwa na watu wanaovuta. Inafaa kuwafanyia vetting ya nguvu. Hukumu tarehe 29 Aprili, siku 12 zilizopita hakuna hata gazeti moja la Rostam lisitoe hizo habari?
 
Is this a koke or something serius?
Kaka sijwahi kutumauongo hapa hata siku moja,tena wala sio mahali pake.kubenea ana hali ngumu kwa sasa....na bado ana kesi zaidi ya kumi,kimsingi wale wote waliokuwa wakimpamba humu kuwa watakufa nae ndio wakati wao wa kuonyesha kuwa wako nae,mwanakijiji yuko wapi?field marshal?slaa etc
 
hakuna neno mzee mengi atamlipia ...pesa anayo!!! au atamuwekea wakili akate rufaa...ndio ajali za magazeti!! hakuna gazeti lisilo na kesi...
 
Hatimaye kwa nguvu za Mwenyezi Mungu alie hai mahakama kuu ya tanzania imetoa hukumu ya kesi kati ya kubenea na rostam aziz,mahakama imetoa hukumu hio tar 29 april,imemtaka kubenea amlipe rostam bilioni tatu pamoja na gharama za kesi kwa kumchafua hasa kuhusiana na richmond thanx God.its me fisadi mtoto and my friend Dikteta

Haya ndo matokeo ya kushindia mhogo wa kuchoma na maji, usiku maharage na mhogo. wakati huo mbu wanafanyizia usiku kucha kweli akili zitafanya kazi.
 
Hatimaye kwa nguvu za Mwenyezi Mungu alie hai mahakama kuu ya tanzania imetoa hukumu ya kesi kati ya kubenea na rostam aziz,mahakama imetoa hukumu hio tar 29 april,imemtaka kubenea amlipe rostam bilioni tatu pamoja na gharama za kesi kwa kumchafua hasa kuhusiana na richmond thanx God.its me fisadi mtoto and my friend Dikteta
Source please
 
"hakuna neno mzee mengi atamlipia ...pesa anayo!!! au atamuwekea wakili akate rufaa...ndio ajali za magazeti!! hakuna gazeti lisilo na kesi..."

________________________

Phillemon Mikael: magazeti ya RA, hasa Rai na Mtanzania yanaongoza kwa kuwa na kesi hapa nchini.
 
Kaka sijwahi kutumauongo hapa hata siku moja,tena wala sio mahali pake.kubenea ana hali ngumu kwa sasa....na bado ana kesi zaidi ya kumi,kimsingi wale wote waliokuwa wakimpamba humu kuwa watakufa nae ndio wakati wao wa kuonyesha kuwa wako nae,mwanakijiji yuko wapi?field marshal?slaa etc

Nimekupata. Ni hilo jina lako tu ndiyo lili nishtua kidogo ndiyo maana ikabidi niulize haha. Maana nikadhani tuna aspiring future fisadis humu. Anyways thanks for the info.
 
Source please
Source ya nini wakati mimi ndio nakwambia?????? unataka kujua nini cha ziada?hio ndio hukumu na ilikuwa ikiendeshwa na wakili Kennedy Fungamtama,ambapo kutokana na ujinga wa Kubenea alishindwa kufata taratibu za kisheria na matokeo yake ikasikilizwa upande mmoja
 
Kwa hiyo unataka kusema hajashindwa kwa maudhui kwa maana ya uwongo wa habari ila technicalities za ufunguaji wa kesi? Manake naona case yenyewe unasema imesikilizwa ex-parte. Kwanini Kubenea hakumpa Tundu Lissu au Marando?

Naona habari yenyewe imekaa nusu nusu, hebu tuletee habari kamili ikiwemo hukumu ya kesi

Asha
 
Kama kubenea anashindwa kumtazama mzee wake kule Baleni what makes you think anatakuwa na pesa za kuwalipa hao malawyers?

those guys are not cheap
 
Hatimaye kwa nguvu za Mwenyezi Mungu alie hai mahakama kuu ya tanzania imetoa hukumu ya kesi kati ya kubenea na rostam aziz,mahakama imetoa hukumu hio tar 29 april,imemtaka kubenea amlipe rostam bilioni tatu pamoja na gharama za kesi kwa kumchafua hasa kuhusiana na richmond thanx God.its me fisadi mtoto and my friend Dikteta

Unamshukuru mungu yupi,!!! mungu wa mafisadi au?????!!!
 
Back
Top Bottom