Mahakama ya Kadhi "Ruksa" - Pinda

Status
Not open for further replies.
Jana, (ingawa sikusikia jibu lote) kipande kidogo nilichokisikia kinanifanya ni sadiki kuwa Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pita Pinda alipokuwa akijibu hoja za bajeti jana jioni kaonesha kuridhia kwa Serikali kuanzishwa tena kwa Mahakama ya Kadhi baada ya kufungiwa kwa muda mrefu na aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanganyika (na baadae Tanzania) Julius Kambarage Nyerere.

Tunawapongeza Watanzania wote kwenye haya maamuzi mazuri yaliyofanywa na Serikali ya Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Kuwarudishia Waislaam Kadhi na mahakama ya Kadhi ni katika kuwapa uhuru wao wa kuabudu uliodhulumiwa na utawala wa awamu ya kwanza.

Tunatumai mchakato wa kuzirudisha mahakama za kazi utakuwa wa kasi zaidi.

Hongera Waislaam, Hongera Kikwete, Hongera Pinda, Hongera Watanzania.
mahakama ya kadhi na uhuru wa kuabudu wapi na wapi?
 
Msidanganyane! mlipa kodi mkubwa wa nchi hii ni Waislamu kutokana na idadi ya uwingi wao (wekeni kipengele cha dini kwenye sensa) na ufanyabiashara.

sasa kwa nini hamtumii mapesa yenu mengi kujenga shule ili jamii ya kiislamu nchini iwe na wasomi wengi tofauti na sasa?
 
Unachofurahia ni nini? Inawezekana hujui kabisa. Mahakama ya kadhi iliruhusiwa tangu enzi za Mwl. Nyerere. Alichoondoa yeye ni fedha za walipakodi kulipa gharama za hizo mahakama na hicho ndicho alichosema muislam mwenzenu kikwete kwamba serikali haitajishughulisha na mahakama ya kadhi.
 
Msidanganyane! mlipa kodi mkubwa wa nchi hii ni Waislamu kutokana na idadi ya uwingi wao (wekeni kipengele cha dini kwenye sensa) na ufanyabiashara.

Waislam na Jumuiya zake wana shule ngapi, wana vyuo vingapi, wanahospitali ngapi, wanaviwanda vingapi, wana mashamba mangapi, wana properties ngapi?...

Ijengeni kwanza Jumuiya ya Kiislam ndipo mfikilie mahakama ya Kadhi.
 
Chekeleeni tu mna hela za kuendesha? Mmeshindwa kujenga miskiti ya kutosha mnalilia mahakama ya kadhi pesa zenyewe za kuunga unga si bora mngewekeza kwenye mashule ya kiislam na zahanati.
Hela wanazo lakini mabahili hayo sijapata kuona. Ebu angalia misikiti yao mijini ilivyochakaa lakini hutaona hata siku moja imekarabatiwa. Wao ni pilau tu na juice za miwa, basi.
 
Iulize Serikali!

Mbona wakirsto wanajenga za kwao, mwezi huu wa sita tu zimefunguliwa shule zaidi ya mbili zilizojangwa kwa michango ya wakirsto mkoani morogoro kwa mujibu wa vyombo vya habari, wapi ujenzi wa shule inayojengwa kwa michango ya mabilionea wa kiislamu unaendelea? kile chuo kikuu cha wailamu ambacho serikali ilikikabidhi ardhi kubwa na majengo ya serikali kimefikia wapi?
 
Msidhani ina faida.Hakuna hata moja.Wote walioanzisha hii kitu wanaishi kwa "political instability".Waislam hawatk amani
Utatufundisha nini wewe kuhusu amani?! fanya research kuhusu Mtume SAW jinsi alivyofunga makataba wa amani na Makafiri huko Hudaybiyah, uone kuwa sisi ni watu tunaomaliza matatizo kwa amani kabla ya vita, kubakieni kwenu nyinyi Wakristo miaka yote hii huku mkifanya kila aina ya uvunjaji wa amani(kutoka mwembechai mpaka MOU) bila ya kuguswa ni ushahidi tosha kuwa Waislamu ni watu wa amani.
 
Mkuu Kingcobra wao walifikiri serikali itakuwa inalipia hizo mahakama sasa ni jukumu lao tuone kama wana ubavu wa kuzisimamia misikiti yenyewe wanashindwa hata kupiga rangi sembuse kuendesha mahakama ya kadhi
 
Last edited by a moderator:
Ivi nyie wakiristo mahakama ya kadhi inawahusu nini?Hemu 2achieni wenyewe ce ndio 2najua umuhimu wa mahakama hii nyinyi hamuelewi.
 
Mbona wakirsto wanajenga za kwao, mwezi huu wa sita tu zimefunguliwa shule zaidi ya mbili zilizojangwa kwa michango ya wakirsto mkoani morogoro kwa mujibu wa vyombo vya habari, wapi ujenzi wa shule inayojengwa kwa michango ya mabilionea wa kiislamu unaendelea? kile chuo kikuu cha wailamu ambacho serikali ilikikabidhi ardhi kubwa na majengo ya serikali kimefikia wapi?
Hakuna cha michango ya Wakristo wala nini hapo, ni pesa za MOU hizo ndizo zinazofanyakazi, mwenzako alishauriwa amshauri mbunge wake ili aibue hoja bungeni kuhusu matumizi ya pesa za MOU akakimbia hapa!
 
Waislam na Jumuiya zake wana shule ngapi, wana vyuo vingapi, wanahospitali ngapi, wanaviwanda vingapi, wana mashamba mangapi, wana properties ngapi?...

Ijengeni kwanza Jumuiya ya Kiislam ndipo mfikilie mahakama ya Kadhi.

Hawana uthubutu huo kwanza wavivu sana waislma kutwa kutembeza bakuri wataweza wapi kuhudumia hizo mahakama! Shule zenyewe kuhudumia zimewashinda
 
mahakama ya kadhia.

waTZ mtakoma mkiruhusu upuuzi huu.

safari moko huanzisha safari nyingine .... watadai tena kila mwanamke avae kininja.....wakimaliza hiyo watataka kila mtu afunge mwezi wa Rama na hakuna kuuza chakula, na dalili zipo wazi, kipindi cha mwezi wa Rama ukihisi njaa uko Kariakoo utajuta, no food mpaka saa 12.

napita
 
Hakuna cha michango ya Wakristo wala nini hapo, ni pesa za MOU hizo ndizo zinazofanyakazi, mwenzako alishauriwa amshauri mbunge wake ili aibue hoja bungeni kuhusu matumizi ya pesa za MOU akakimbia hapa!

Acha unafiki, mimi binafsi huwa nachangia ujenzi wa shule,makanisa,hospitali na vyuo kwenye harambee nyingi sana zinazoendwa na wakirsto hata kama natofautiana nao imani.

jana nimechangia mchango kwa ajili ya kuendesha semina ya malezi bora kwa vijana inayoandaliwa na wakirsto, nalazimika kuchangia sababu naona ni positive initiatives badala ya kulalamika lalamika na kutoa visingizio visivyokuwa na msingi kama mtoto mdogo.

utanishawishi vipi nikuelewe kwamba ni fedha za MOU wakati na mimi nimechangia? na zaidi waislamu kutokupewa pesa na serikali sio sababu ya wao kuacha kufanya shughuli za maendeleo.

Fungukeni macho bwana, haya, bajeti yetu inaonyesha kwamba fedha zinazotengwa kwa ajiri ya maendeleo ni zile zinazotegemewa kutoka kwa nchi wahisani, wewe si unajua kwamba nchi wahisani karibia zote ni za kizungu, za kikirsto kwa mujibu wa tafsiri zenu za kulalamika lalamika, na nyie mnataka portion kutoka kwenye pesa hizo??

Mjifunze kujisimamia kwa mambo ya msingi hasa ya maendeleo, dunia nzima imewachoka sasa, project mnazozifanya kwa umakini na ufanisi ni zile za mauaji ya haraiki ya watu tu basi. shame on you. Good Bye.
 
Ije haraka hiyo mahama wachinjane kwa mapanga na majambia kwa wazinzi wa kiislam
 
kama HQ yetu ya bakwata pale knondoni dhoofu bin hali hii habari ya kadhi tutaweza kweli?
 
mahakama ya kadhia.

waTZ mtakoma mkiruhusu upuuzi huu.

safari moko huanzisha safari nyingine .... watadai tena kila mwanamke avae kininja.....wakimaliza hiyo watataka kila mtu afunge mwezi wa Rama na hakuna kuuza chakula, na dalili zipo wazi, kipindi cha mwezi wa Rama ukihisi njaa uko Kariakoo utajuta, no food mpaka saa 12.

napita
Ungese mwingine huu! mwanamke Mkristo mtawa akivaa hijabu na msalaba kimya,na ananyenyekewa maofisini na mjengoni, mwanamke Muislamu akivaa hijabu mnaleta maneno yenu.....hii nchi bora igawanywe tu, Waislamu kwao na Wakristo kwao!
 
mkuu yanini kutukana?

nazungumzia kitu kama hichi mkuu, usichanganye mambo.

images.jpg
 
Mbona wakirsto wanajenga za kwao, mwezi huu wa sita tu zimefunguliwa shule zaidi ya mbili zilizojangwa kwa michango ya wakirsto mkoani morogoro kwa mujibu wa vyombo vya habari, wapi ujenzi wa shule inayojengwa kwa michango ya mabilionea wa kiislamu unaendelea? kile chuo kikuu cha wailamu ambacho serikali ilikikabidhi ardhi kubwa na majengo ya serikali kimefikia wapi?
Kimedorora!! Namshukuru sana Mkapa kwa kuwapatia chuo kile maana kwa kufanya hivyo imejidhihirisha waziwazi kwamba wenzetu na elimu ni mwizi na polisi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom