Mahakama ya Kadhi: Masheikh wakutana na JK

Sijaelewe! Amekutana nao kama Rais au muumini mwenzao? Maana kama Rais alishawaambia suala la mahakama ya kadhi si la serikali ni la waislam wenyewe.

Serikali hii sio ya kiislamu hawatapewa hata senti moja ya bajeti labda pesa za ufisadi.Watadanganywa kama kawaida yao na utawasikia wanasheherekea JK kawakubaliwa .Kumbe wameliwa tena na tena!!

hakuna jipya,ni ngonjera zilezile,labda useme kama this time serikali imekubali kui fund mahakama ya kadhi

kwani mwislamu anaweza kwenda kusoam kweney shule za seminary? huu sio udini? wewe unaongea nini bwana ..

seminari kwa wakatoliki humwandaa mtu kuwa padre, ukijua hivi vitu haitaletashida kujua unachokiongea. Tena huko wanasoma wanaume tu. Lakin wakatoliki wanazo shule nyingine nyingi ingawa nyingi zaidi zilitaifishwa na serikali. Kwenye hizo shule nyingine hawawaandai mapadre, hata wewe unaweza kwenda. Lakini pia unaweza soma seminari, utalazimika ubatizwe na uwe mkatoliki na lengo lako liwe kumtumikia Mungu kama padre. Unakaribishwa

Kodi hulipwa kutokana huduma husika hivyo basi zile billioni 600 zinatokana na kodi zangu zikokotolewe katika kodi ili ipunguzwe nilipie huduma ya barabara, ulinzi wa nchi na hospitali za serikali na sio nilipie na makanisa yenu ambayo muislamu hafaidiki nayo venginevyo waislamu hawatalipa kodi mkuu. This is sensible kwani mkataba wa mwananchi na serikali ni kutoa kodi kwa huduma husika sasa huduma makanisani muislamu hafaidiki nayo na hivyo kodi kwa mwislamu ipunguzwe ili zile bilioni 600 wanazopewa makanisa zitoke kwa wakristo. Fahamtu!!!!
hivi nyinyi akili zenu mmeziweka wapi? kodi lazima ulipe ..na utalipa tu utake usitake..! Kwani wewe hununui unga,mchele, mafuta,dawa ya mswaki?
halafu nyinyi watu mbona hamna shukrani? mbona hizo huduma za jamii tunatumia wote? Sisi shule zetu za seminari tunaziendesha wenyewe kwa michango yetu wenyewe siyo kwa hela ya serikali. Sasa nimegundua ni kwanini Muslim University Of Morogoro chuo mlichopewa bure na mkapa kinachukua waslam tu!watu wabinafsi sana!

INFERIORITY COMPLEX!!!Msiingie hospital za kanisa,mashule,vyuo na mahospitali watu legelege akili legelege na nanii legelege!

Kodi hulipwa kutokana huduma husika hivyo basi zile billioni 600 zinatokana na kodi za waislamu zikokotolewe katika kodi ili ipunguzwe waislamu walipie huduma ya barabara, ulinzi wa nchi na hospitali za serikali na sio walipie na makanisa yenu ambayo muislamu hafaidiki nayo venginevyo waislamu hawatalipa kodi mkuu. This is sensible kwani mkataba wa mwananchi na serikali ni kutoa kodi kwa huduma husika sasa huduma makanisani muislamu hafaidiki nayo na hivyo kodi kwa mwislamu ipunguzwe ili zile bilioni 600 wanazopewa makanisa zitoke kwa wakristo. Fahamtu!!!!

AKILI zao zipo Masaburi(Makalio)!!!Muslim UNiversity(Kama Ina sifa hiyo) hata rangi ya chokaa wameshindwa kupiga !!!

hivi nyinyi akili zenu mmeziweka wapi? kodi lazima ulipe ..na utalipa tu utake usitake..! Kwani wewe hununui unga,mchele, mafuta,dawa ya mswaki?
halafu nyinyi watu mbona hamna shukrani? mbona hizo huduma za jamii tunatumia wote? Sisi shule zetu za seminari tunaziendesha wenyewe kwa michango yetu wenyewe siyo kwa hela ya serikali. Sasa nimegundua ni kwanini Muslim University Of Morogoro chuo mlichopewa bure na mkapa kinachukua waslam tu!watu wabinafsi sana!

Kodi hulipwa kutokana huduma husika hivyo basi zile billioni 600 zinatokana na kodi za waislamu zikokotolewe katika kodi ili ipunguzwe waislamu walipie huduma ya barabara, ulinzi wa nchi na hospitali za serikali na sio walipie na makanisa yenu ambayo muislamu hafaidiki nayo venginevyo waislamu hawatalipa kodi mkuu. This is sensible kwani mkataba wa mwananchi na serikali ni kutoa kodi kwa huduma husika sasa huduma makanisani muislamu hafaidiki nayo na hivyo kodi kwa mwislamu ipunguzwe ili zile bilioni 600 wanazopewa makanisa zitoke kwa wakristo. Fahamtu!!!!
Kama viwanja vyenu mnavifanyia ufisadi sembuse bilioni 600? mtauana nyinyi na hatutaona shule wala nini sanasana baada ya kuitafuna hiyo itaibuka misikiti tu!

unajua kuwa serikali inalipa kanisa fungu kila mwaka? Huu sio udini?
Wake up!!! Hapa serikali imeteleza sana isifikiri kuwa waislamu ni wajinga

ni wajinga! Kwa nini kutaka kuendeleza jambo ambalo mmepewa jibu...? Kama siyo ujinga ni nini sasa? Ooh mara ccm walituahidi..! Majibu ya ccm si ndio hayo..?

Mbona huyo Kikwete kasoma seminari au na yeye ni padri?Acheni wivu wa kijinga nendeni shule bana .Madrasa ni kwa ajili ya elimu ahera kama mafundisho kwa wakristo na kamwe sio elimu dunia.Sas wewe unasoma elimu ahera unataka kazi ya elimu dunia?Yaani usomee kuendesha Lori halafu Unatakua Auditor!!!

seminari kwa wakatoliki humwandaa mtu kuwa padre, ukijua hivi vitu haitaletashida kujua unachokiongea. Tena huko wanasoma wanaume tu. Lakin wakatoliki wanazo shule nyingine nyingi ingawa nyingi zaidi zilitaifishwa na serikali. Kwenye hizo shule nyingine hawawaandai mapadre, hata wewe unaweza kwenda. Lakini pia unaweza soma seminari, utalazimika ubatizwe na uwe mkatoliki na lengo lako liwe kumtumikia Mungu kama padre. Unakaribishwa

hivi nyinyi akili zenu mmeziweka wapi? kodi lazima ulipe ..na utalipa tu utake usitake..! Kwani wewe hununui unga,mchele, mafuta,dawa ya mswaki?
halafu nyinyi watu mbona hamna shukrani? mbona hizo huduma za jamii tunatumia wote? Sisi shule zetu za seminari tunaziendesha wenyewe kwa michango yetu wenyewe siyo kwa hela ya serikali. Sasa nimegundua ni kwanini Muslim University Of Morogoro chuo mlichopewa bure na mkapa kinachukua waslam tu!watu wabinafsi sana!

Rubbish unafikiri kwa kutumia masaburi wewe!!! nani alikuambia huwezi kupunguziwa kodi unaponunua mchele na mafuta na dawa mswaki. VAT ya asilimia 20 inayolipwa katika bei ya mchele inaweza kupunguzwa kwa waislamu wakalipa 17.5% au less kutegemeana na hesabu za ukokotoaji ili hiyo asilima 2.5 mlipe nyie wakristo kuhudumia makanisa yenu na mahospitali yenu mmezoa vya bure mtalijua jiji!!!! hakuna cha ubinafsi wala nini bali tunaambizana ukweli mmezoea vya bure lipieni wenyewe na waislamu walipe huduma zengine wenyewe venginevyo hakuna muislamu atakubalia kulipia makanisa yenu wakati hafaidiki.

Huyu JK na udini wake keshatutenganisha!
angalia maoni kama ya huyu Saint Ivuga yalivyo na hatred ndani yake!!!
Hebu Saint Ivuga tuambie hilo fungu wanalopewa wakatoliki ni kwa ajili ya shughuli gani? Je, hilo fungu linanuaisha Wakatoliki tu?
Umewahi kwenda KCMC wewe kama muislam ukanyimwa huduma au ukapewa huduma tofauti na mkristu?
Umewahi kwenda Bugando ukabaguliwa kwa uislamu wako? JAMANI TUACHENI KUPOKEA PROPAGANDA ZISIZO NA MWELEKEO!
mkuu hilo fungu linaenda kwenye huduma za jamii,kwani hii mahakama ikianzishwa na ikitoa huduma kwa waislamu kuna tatizo gani? nao si ni moja ya watanzania? mbona kuan kazi kibao hasa kwenye madini au ikulu lakini je ni watanzania wote tunaofaidika na hizi kazi zeney mipesa mingi? la hasha

Madrasa ni sawa na Mafundisho au sunday school ya kikristo sio shule/seminary.Tatizo madrasa mmefanya ndio shule.Mkristo hawezi kusoma madrasa na muislamu hawezi kusoma mafundisho/sunday school lakini muislam hata kikwete alisoma seminary.THINKING CAPACITY inatokana na uellewa utokanao na elimu sasa inategemea umesoma shule au umeenda madrasa au sunday school!!

Mtakatifu Ivuga kwani Mkristu anaruhusiwa kwenda kusoma madras?

Rubbish unafikiri kwa kutumia masaburi wewe!!! nani alikuambia huwezi kupunguziwa kodi unaponunua mchele na mafuta na dawa mswaki. VAT ya asilimia 20 inayolipwa katika bei ya mchele inaweza kupunguzwa kwa waislamu wakalipa 17.5% au less kutegemeana na hesabu za ukokotoaji ili hiyo asilima 2.5 mlipe nyie wakristo kuhudumia makanisa yenu na mahospitali yenu mmezoa vya bure mtalijua jiji!!!! hakuna cha ubinafsi wala nini bali tunaambizana ukweli mmezoea vya bure lipieni wenyewe na waislamu walipe huduma zengine wenyewe venginevyo hakuna muislamu atakubalia kulipia makanisa yenu wakati hafaidiki.
Tanzania bado tuna kazi kubwa. Halafu mtu kama huyu ananiambia mimi nafikiri kwa kutumia masaburi. Kwa hiyo wewe unakwenda pale dukani na kibaraghashia na kanzu yako na kumuambia mwenye duka mimi ni muislam...nipunguzie kodi ya mchele au? yaani mpaka mbavu zinaniuma kwa kucheka ingawa inahuzunisha kwa kweli!

hospiitali,shule na huduma nyinginezo kama hizo zinazotolewa na mashirika ya dini ya kikristo hutoa huduma bila ubaguzi wa dini i.e huduma ni kwa ajili ya mtu yeyote kama zinavyotolewa na taasisi za serilkali LAKINI mahakama ya kadhi ni huduma ya kisheria kwa ajili ya waislam tu hivyo si jambo la busara ikaendeshwa kwa fedha ya kodi inayokusanywa na serikali kutoka kwa wananchi wote bila kujali dini zao
ok ..hii mahakama ikianzisshwa hakimu akiajiriwa mwislamu wewe utapungukiwa na nini? kwani mshahara wake anaenda kuuspent msikitini? anaenda kwenye maduka ya wakristo na kununua vitu kwenye duka lako wewe mkiristo..tatizo liko wapi? tuacheni udini

seminari kwa wakatoliki humwandaa mtu kuwa padre, ukijua hivi vitu haitaletashida kujua unachokiongea. Tena huko wanasoma wanaume tu. Lakin wakatoliki wanazo shule nyingine nyingi ingawa nyingi zaidi zilitaifishwa na serikali. Kwenye hizo shule nyingine hawawaandai mapadre, hata wewe unaweza kwenda. Lakini pia unaweza soma seminari, utalazimika ubatizwe na uwe mkatoliki na lengo lako liwe kumtumikia Mungu kama padre. Unakaribishwa
ok
..nimekubali ..je na hii mahakama itakupunguzia kitu gani?

ni wajinga! Kwa nini kutaka kuendeleza jambo ambalo mmepewa jibu...? Kama siyo ujinga ni nini sasa? Ooh mara ccm walituahidi..! Majibu ya ccm si ndio hayo..?
hakuna mjinga hapa kama ni ujinga basi sisi watz wote ni wajinga ..hapa suala ni kuwa rais ni kigeugeu..hii ndio point kubwa ...kwa nini rais amedanganya waislamu?na kwa nini mapadri wanaingilia mambo ambayo hayawahusu?

Ni ndoto kufikiria kwamba serekali itatenga fungu kwa uendeshaji wa Mahakama ya kadhi... Na kutumia Jitihada za taasisi za kijamii kama njia ya kujenga hoja kwasababu kuna fedha zinazoenda kusaidia taasisi hizo kutoa huduma kwa watanzania wote bila ya ubaguzi pia inasikitisha sana......

Kwani umesikia hizo taasis za maaskofu (mf. hospital )zinatoa huduma kwa wakristo pekee yake na kuwabagua waislamu?mbona waislam hutibiwa bugando, ifakara kcmc kama wakristo?linganisha na huduma za kiislamu kama muslim university of Morogoro na uchek jinsi inavyowabagua wakristo! waislamu ni walalamishi mno na kwa uhakika ni wagumu kubebeka kama mtoto aliyeungua kwapani!
wewe acha kuleta porojo hapa ..yaani vyu o vyote kibao vilivyopo Tanzania umekosa nafasi hadi uende kugombania nafasi kwenye chuo cha morogoro? una akili timamu kweli wewe? chuo chenyewe ni kimoja then unataka kwenda tena ...kufanya nini? usitumie masaburi kufikiria

Back
Top Bottom