Mahakama ya Kadhi: Masheikh wakutana na JK

kama haina dini kwa nini -Katoliki wanapewa fungu na serikali? Kwa nini kama wanatoa huduma za jamii wasitoe tu kama kanisa? Kwa nini wameingia gentlemen mkataba na serikali ambayo haina dini? Serikali na maaskofu hapa wameteleza kuwanyima waislamu mahakama ya kadhi kama walivyotaka na huu udini wakristo ndio wanauanzisha wenyewe
Kwani umesikia hizo taasis za maaskofu (mf. hospital )zinatoa huduma kwa wakristo pekee yake na kuwabagua waislamu?mbona waislam hutibiwa bugando, ifakara kcmc kama wakristo?linganisha na huduma za kiislamu kama muslim university of Morogoro na uchek jinsi inavyowabagua wakristo! waislamu ni walalamishi mno na kwa uhakika ni wagumu kubebeka kama mtoto aliyeungua kwapani!
 
katutukana juzi juzi leo kawaita ma-shehe Ikulu.... kweli usiposhangaa ya mussa utasitaajabu ya firauni ok inamaana move ndio inaanza? waislamu... waislamu ghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!1
 
Saint Ivuga said:
kwani mwislamu anaweza kwenda kusoam kweney shule za seminary? huu sio udini? wewe unaongea nini bwana ..

Mtakatifu Ivuga kwani Mkristu anaruhusiwa kwenda kusoma madras?
 
kama haina dini kwa nini -Katoliki wanapewa fungu na serikali? Kwa nini kama wanatoa huduma za jamii wasitoe tu kama kanisa? Kwa nini wameingia gentlemen mkataba na serikali ambayo haina dini? Serikali na maaskofu hapa wameteleza kuwanyima waislamu mahakama ya kadhi kama walivyotaka na huu udini wakristo ndio wanauanzisha wenyewe
hospiitali,shule na huduma nyinginezo kama hizo zinazotolewa na mashirika ya dini ya kikristo hutoa huduma bila ubaguzi wa dini i.e huduma ni kwa ajili ya mtu yeyote kama zinavyotolewa na taasisi za serilkali LAKINI mahakama ya kadhi ni huduma ya kisheria kwa ajili ya waislam tu hivyo si jambo la busara ikaendeshwa kwa fedha ya kodi inayokusanywa na serikali kutoka kwa wananchi wote bila kujali dini zao
 
linapokuja suala la mahakama ya kadhi watu huweka akili kando na kutumia emotions kuamua. Mtu kama huyo huwezi mwelewesha akaelewa. Mpaka arudie akili zake.
Kazi ipo na dunia hii!
 
usijifanye mjinga braza wakati akili unazo, ruzuku zinazotolewa na serikali kwa mashirika ya kidini(na sio makanisa pekee) ni kwa huduma zinazolenga jamii nzima kama mashule na hospital, haijawahi kutoa pesa kuendesha ibada sasa unapolazimishia mahakama ya kadhi ambayo ni sehemu ya ibada ya dini moja, si ndo udini huo ndugu yangu?

Kumaliza ubishi serikali ufute pesa hizo mnazopewa na izihamishie hosptl na mashile ya umma na hiyo kadhi isipewe, taasisi za umma zinataka fedha na sio kuwapa hao mapadri na maaskofu
 
Kuna watu wanajipendekeza kwa shetani humu,endeleeni kumsaidia shetani kazi hayumkini naye anakushangaa kumbe nawe ni wa kundi lake!
 
It is sickening! Tunaacha kuzungumzia suala la umaskin wa mtz kila siku majadiliano ya Kaaadhi...
 
na sisi waislam tunataka mafedha kama wanavyopewa makanisa. mapesa na sisi tuyale, tununue samaki kama wanavyokula makanisa. kwani kama pesa hizo zinatumika ipasavyo ni wazi wabunge wasingalipiga kelele kuhusu hoduma ya afya mbovu

Wangelifafanua vizuri zile bilioni 600 makanisa wanapewa na serikali kupitia MOU ya serikali kila mwaka. Pesa ambazo waislamu wanatozwa kodi na hawanufaiki na hata senti moja. Serikali isipokuwa makini kinachotokea Nigeria kinaweza kuhamia Tanzania kama hatua madhubuti hazijachukuliwa kulipatia ufumbuzi suala hili la uwiano baina ya wakristo na waislamu. Sipendelei yatokee but huo ndio ukweli god forbid!!!!
 
maskof wanaishi maisha kama pepon kumbe hela ya walipa kodi wanapatia na mitaji ya biashara za cocaine
 
Kumaliza ubishi serikali ufute pesa hizo mnazopewa na izihamishie hosptl na mashile ya umma na hiyo kadhi isipewe, taasisi za umma zinataka fedha na sio kuwapa hao mapadri na maaskofu
Kwa hili mtapiga kelele mpaka mapovu yatoke kama mmemeza unga wa Omo. Kadhi mtaiendesha wenyewe. Na Mou haifutwi kamwe. Kama mnataka andaeni na nyinyi makubaliano yenu na serikali.
 
haha,wanakaa ndani ya ngome za hatari kumbe ndani wanafanya packaging za mihadaraji VERY DISGUSTING
 
Nyie mnabishana na hao masheikh hawajaendsa shule na waumini wao mtapoteza muda,kazi yao ni mihadhara kukashifu wakristo,wakati wao wakristo wanafanya maendeleo ya kujenga mashule,mahospitali na kuwapeleka watoto wao mashuleni,angalia wakristo wanamaisha mazuri kama nini,wao waislam kazi yao kulalamika na kusoma madrasa wanakera sana.
 
Kwa hili mtapiga kelele mpaka mapovu yatoke kama mmemeza unga wa Omo. Kadhi mtaiendesha wenyewe. Na Mou haifutwi kamwe. Kama mnataka andaeni na nyinyi makubaliano yenu na serikali.

Solution is simple mzee subiria waislamu waanze kugoma kulipa kodi kwa madai wanataka kodi yao ijulikane inaenda wapi ndio mtalijua jiji kama hamjatokwa na macho maana mmezoea vya bure.
 
maskof wanaishi maisha kama pepon kumbe hela ya walipa kodi wanapatia na mitaji ya biashara za cocaine
Unaweza kusema kila kitu unachokitaka kutoa frustrations zako. Madaktari wanasema inasaidia kutuliza mzuka. kwa hiyo mzee , gonga keyboard hiyo kwa bidii! Ila movie yenu ya The Kadhi ndiyo imeshaanza. Sisi tunasubiri tu kama itakuwa The classic au Ze Comedy.
 
Solution is simple mzee subiria waislamu waanze kugoma kulipa kodi kwa madai wanataka kodi yao ijulikane inaenda wapi ndio mtalijua jiji kama hamjatokwa na macho maana mmezoea vya bure.
Msipolipa kodi inamaanisha mtakula majani ya miti? mtapigia mswaki miti? wale wakaanga mihogo maarufu watumia nini kukaangia mihogo? usafiri?
Kaka akili yako iko wapi bana? Usipolipa kodi utakufa tu maana hautapata mahitaji yako ya msingi.
 
Kodi hulipwa kutokana huduma husika hivyo basi zile billioni 600 zinatokana na kodi za waislamu zikokotolewe katika kodi ili ipunguzwe waislamu walipie huduma ya barabara, ulinzi wa nchi na hospitali za serikali na sio walipie na makanisa yenu ambayo muislamu hafaidiki nayo venginevyo waislamu hawatalipa kodi mkuu. This is sensible kwani mkataba wa mwananchi na serikali ni kutoa kodi kwa huduma husika sasa huduma makanisani muislamu hafaidiki nayo na hivyo kodi kwa mwislamu ipunguzwe ili zile bilioni 600 wanazopewa makanisa zitoke kwa wakristo. Fahamtu!!!!
 
Rais apaswa kuonyesha msimamo juu ya yale aliyokwishakuyatolea maamuzi
 
Back
Top Bottom