Sawa lakini hivi mtu akitiwa hatiani kwa sheria za kiislam na adhabu ikiwa ni kifungo, je atafungwa gereza lipi??? Je makadhi wa mahakama za kiislam watalipwa kwa fedha zipi??? Je pale ambapo maamuzi ya mahakama ya kadhi yanapopingana na katiba, which one will supercede the other??? And so much more
Mwana mie navyofahamu hapa tanzania raia tunaishi kwa ushirikiano kama kitu kimoja na tunaingiliana bila kujali dini na kuoana pia bila kujali dini sasa ikatokea ndoa ya mkristu na muislam wakaoana then ikatokea matatizo uliyoainisha itakuwaje sasa hapo!pia jela ya hii mahakama itakuwa wapi?na ninani atakaehusika na kukamata washtakiwa na pia kudhibiti nidhamu ya washtakiwa??[/QUOTE]Mahakama ya kadhi ni maalumu kwa ajiri ya kutatua migogoro ya miradhi,ndoa na mambo mengine yanayowahusu waamini wa dini ya kiislamu,na hutoa maamuzi yake kwa kutumia sheria na miongozo ya kiislamu.Wakati mahakama za kawaida husuluhisha migogoro mbalimbali kwa kutumia katiba mama na sheria mabalimbali zinazotoa miongozo ya namna ya kuongoza nchi na raia wake bila kujali dini zao.