Mahakama ya kadhi haitakuwa kwajina la yesu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Wana ndugu wapendwa katika bwana nimependa kuwapa moyo watanzania hususani serikali ya tanzania msijisumbue na makelele ya baadhi ya watu ...hii mahakama inayopigiwa kelele haitakuwa katika jina la yesu...na popote watakapopanga kukaa kukutana na serikali mungu lazima avuruge vikao vyao.....na sema haya kwa mamlaka tuliopewa na mungu

ISAYA 7:7

BWANA MUNGU ASEMA HIVI NENO HILI HALITASIMAMA WALA HALITAKUWANAPENDA KUWAHAKIKISHIA HAKUNA KITU KINACHOITWA MAHAKAMA YA KADHI KITACHOTOKEA......

HESABU 14:28

KADRI MNENAVYO NDIVYO NITAKAVYOTENDA MUNGU ANATIMIZA AHADI ZAKE ...HIVYO BASI KAMA TUNAVYOSEMA LEO HAKUNA WALA HAITAKUWA MAHAKAMA YA KDHI MUNGU AMEKWISHATENDA


MWANZO 11:7

HAYA NA TUSHUKE UKO TUWACHAFULIE USEMI WAO ILI WASISIKILIZANE MANENO WAO KWA WAO ....NAPENDA KUWATANGAZIA HATA WAKUSANYIKE 60 NA SERIKALI HAWATOELEWANA KAMWE NISHASHUA UPAKO WA KUTOKUELEWANA CHOCHOTE WATAKACHOFIKIRIA .JUU YA MAHAKAMA HII..

MUNGU AWABARIKI WOTE
 
duh hii kali sana,

mahakama ndo inaingia hivyo taratibu!
nasubiri nione maandiko kama yatatimia
 
Edson
maneno ya mungu ni ya kweli""neno langu ni la kweli na uhakika""
kama una imani basi angalia nguvu za mungu zitakavyowashukia...hata wakae kempiski.....mungu wetu yupo juu....

Mith 23:17 "ajionavyo mtu ndivyo alivyo""so ukiwa huna imani utaona yale yasio na imani ukiwa na imani basi imani..lazima itende kazi/...
 
Back
Top Bottom