Mahakama ya Arusha, yatoa waranti kukamatwa kwa wabunge na viongozi wa CHADEMA

Unathibitisha tatizo tulilonalo watz wengi. Huwa ni wavivu wa kusoma na wepesi wa kurukia hoja. Ndio maana umechangia ujinga kwasababu tu ya uvivu wa kusoma. Mtoa mada amemjibu mjinga mwenzio ambaye nae amechangia bila kusoma. Ni kwamba waliosema wapo kwenye shughuli za kamati za bunge ni wabunge na ndio ameongea nao. Acha ubwege!

Hawa jamaa siku haipiti bila ya kutamka Dr Slaa,achana nao..
 
Slaa na bunge wapi na wapi, labda alikuwa anauguza mke wa mahimbo.
 
Back
Top Bottom