Mahakama sasa at least

Aloysius

Member
Mar 1, 2011
80
9
[h=2]Mahama sasa at least[/h]
Eti ule muswaada wa 20011 wa Uongozi wa mahakama vipi, unaompatia Mkuu wa mkoa uwenyekiti katika tume ndogo ya nidhamu, haileti ka mockery kidogo kwa mahakimu, haileti ka judicial interference. Au kako bomba?​
 
Wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya tayari walikuwa na uwezo kwa kupitia mlango wa uani wa kuwaelekeza mahakimu wafanyeje/waamueje masuala mengi yanayoelekea kuirarua serikali na chama tawala magamba.

Kutungwa kwa sheria hiyo ilikuwa ni kujaribu kuhalalisha nguvu ya wanasiasa kwa wanataaluma.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom