Mahakama: Rostam anakamatika

Tanzania ya leo! MONEY TALKS! huyo angekuwa mwananchi wa kawaida ameshukiwa kuiba kuku wa fisadi mmoja angekuwa yupo lupango zamani!
 
Rostam ashukuru Mungu alimchukua mchonga meno, saa hizi angekuwa ameishaozea Segerea ananyea ndoo!!
 
Kumbuka, Caspian walipewa mkataba wa kujenga misingi na viegesho vya yatapokaa hayo majenereta.

Na RA kama mfanya biashara ana haki ya kufatilia ni nani anapewa mkataba ili na yeye apate kazi.

ni kawaida kabisa ya mfanya biashara yeyote wa kimataifa duniani kutafuta mwenyeji wa kuwasimamia na kuwaongoza wapi pa kwenda nani wa kumuona.

Hakuna kampuni ya nje inayofanya kazi Tanzania bila kuwa na mwenyeji. Na si lazima mwenyeji awe ni mmoja wa wwamiliki kwa sheria za Tanzania.

Kwani Richmond au Dowans mwenyeji wao akiwa Rostam, kuna kosa? Kama RA kamtuma mfanyakazi wake kwenda kuwaona Richmond kwa kutaka kujuwa uwezo wa hawa Richmond, kumbuka aliemtuma ni mtunza fedha wake! Huoni kuwa hapo RA kafanya jambo la maana kama mfanya biashara?

Kama RA kamtuma mfanyakazi wake kwenda kuonana na Richmond kwa ajili ya kumuwakilisha Dowans, jee hapo kuna kosa?

RA "anakamatika", ni nani asiekamatika Tanzania? Labda Rais tu. Lakini, kukamatika si lazima uwe na hatia. Mpaka sasa sijaona wapi RA ana hatia au Adawi au Dowans.
 
polisi wetu maskini unategemea watamshitaki RA ni vigumu mimi naomba tu jeshi letu ndio wafanye kazi ya kumtoa dunia kwa njia yoyote ile maana hatufai kabisa hata kidogo
 
Watu wote wananiboa tu.. sasa kwendaa kwa Surtee huko Houston Tarehe 7 Oktoba 2006 na kusainiwa kwa mkataba kati ya Dowans na Richmond 14 Oktoba, 2004 hakuna uhusiano wowote? Nashangaa kwanini hii hoja hailetwi mbele kuhojiwa? Inaboa kweli. I'll have to do this mimi mwenyewe.

Mkuu kila kitu kinajulikana, lakini ukweli ni kwamba Rostam hakamatiki, simple because he is de facto President. Kumekuwa na trick inayotumiwa somewhere ku-release hizi taarifa kidogo kidogo kwa public, lakini wenye uwezo wa kufanya maamuzi na kutekeleza sheria wanafahamu vizuri. The reason why hawa-act na hawamkamati pamoja na kuwa nakamaitika ni kuwa, Rostam ndiye mkuu, order zinatoka kwake zinapitia tu kwenye midomo ya wengine.
 
Back
Top Bottom