Mahakama nchini misri yakifuta chama cha mubaraka

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Mahakama nchini Misri imefikia hatua ya kukifuta chama cha aliyekuwa rais wa misri Hosni mubatak,mubaraka alikua kiongoz wa chama hicho ambacho kiliasisiwa na hayat Anwar Sadatt-bbc
 
Haya bwana, kila kitu kina mwisho wake, udikteta umefikia ukingoni. Bado huku kwa wamatumbi ndo hatujajua umuhimu wa kutenda haki!
 
yatafika tu haya hata tz we waache wajinasibu na kijivua magamba
 
Back
Top Bottom