Sipendi Ubepari
JF-Expert Member
- Jan 12, 2012
- 249
- 40
Kuna haja ya kuunda mahakama maalum(International Criminal Tribunal for Tanzania "ICTT") itakayosikiliza kesi mbalimbali za mauaji/kujeruhi na vitisho yaliyofanywa wakati wa Vuguvugu la mabadiliko ya kisiasa(M4C 2010-2015) na Utawala uliopita wa CCM hapo 2016. Ukiangalia mtiririko huu toka Arusha 2011, Songea na Morogoro, kuna kila sababu za kujiridhisha pasiposhaka kuwa mahakama kama ile ya ICTR ya Rwanda ianzishwe pia ICTT kwaajili ya TZ. Uwanja wa mahakama hii upanuliwe ili isikilize pia kesi za mauaji ya Pemba 27 januari 2001 yaliyofanywa na utawala wa Mkapa. Makao makuu ya ICTT yawe Kigali-Rwanda ambapo watawala wa sasa na wa awamu ya tatu watafunguliwa kesi za jinai.