MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,343
- 11,227
Ninachokiona humu ndani mnabwabwaja kwasababu hamuugui,wajomba laiti mngekuwa mko hapa hospitalini kuuguza nadhani kamwe msingeandika hizi *****.BE REALISTIC,ACHENI USHABIKI WA KIJINGA,NLIDHANI MNAOTUMIA INTERNET WOTE WAWEZA KUWA NA UPEO MKUBWA WA KUFIKIRI LAKINI KWA HAYA MNAYOANDIKA HUMU,JAMANI ITS TOO MUCH,NDUGU ZETU WANAKUFA NYIE MNASHABIKIA MGOMO WA MADAKTARI.
Hakuna anayeshabikia mgomo wa madaktari, kwa sababu kila mtu ni mgonjwa mtarajiwa. Mimi niko njiani naenda mjini sasa hivi, najua kwa hakika kuwa AJALI HAZIJAGOMA naweza kuumia muda wowote na kufa kwa kukosa huduma. Hii ni vita kama vita nyingine, na kuna msemo unasema "In wars, almost always the innocent will get in the crossfire", bahati mbaya inaweza kuwa mimi, wewe au mtu yeyote.