Mahakama Kuu yaamuru madaktari kusitisha mgomo

Naona kifuatacho ni Shimbo kutoa tamko tuu!
Maana wanajaribu kuexhaust kila aina ya bit watu wanakomaa!
 
Hata kama wakirudi kazini, je watafanya kazi????? au ndio yale mambo ya kusign vitabu na kuanza kuzunguka huku na huko mpaka muda unaisha.....au kumhudumia mgonjwa mmoja masaa kadhaa wakati inatakiwa kumhudumia kwa dakika kadhaa?....kama kweli serikali ina nia ya sekta ya afya irudi katika mstari na huduma zitolewe bila hali yoyote ya matatizo kiutendaji, inabidi imalize hili tatizo kwa kushirikiana na hao madaktari ili kila upande uwe na amani katika makubaliano......serikali ikilazimisha tu madaktari kurudi kazini hata kwa hii njia ya mahakama, naamini huko mahospitalini patachimbika, kama huwa tunasikia wahudumu wa afya huwa wana kauli chafu kwa wagonjwa, nadhani sasa hali itakuwa mbaya zaidi, na uhusiano kati ya mgonjwa na daktari utakuwa mbaya kwa sababu inaonekana kuwa kila mtu atakula mahali alipo, nadhani tunaelewa anaetakiwa kuliwa na daktari ni nani.....
 
Nadhani Serikali inacheza na afya za Watanzania. Mgomo wa madaktari is about "attitude". Huweza ukabadili "attitude" kwa order ya Mahakama. Watarudi kazini, sawa, lakini huwezi ukawaamuru wafanye kazi kwa ustadi unaotakiwa kama hujawabilisha "attitude" yao juu ya kile wanachokipigania. Mahakama ilitoa amri kama hiyo kwa Walimu,, what was the result! Wanafunzi kufeli!!! Siamini kama njia ya mahakama ni sahihi hata kidogo.
 
Ismathew; you are the best...in English

Tanzania Goverment they have gone more far left, to use the high court to intervene Doctors strike is
a big mistake. Doctors is observing a strike demand their regularisation and reise in payscale, concern
justice may stop entire negotiating process and dispute. to mediation or arbtration, and all Doctors must
to play active part in the battle, to ensure that all you are demand have been done before to suspend
the strike.
 
Hivi baba nani hii anakutana wa wazee wa Kashata na Gahawa lini vile? Unajua hawa vizee ni manIntellectual
!!!!!!! loh they are very bright and wise......Baba nani hii sometime bana...nani anamshauri? mama nani hii nini? its true behind any Successful man they is a woman
 
Back
Top Bottom