Mahakama kuu imetoa hati kukamatwa Nabii na Mtume Josephati Mwingira

mtume wa mitume, means yesu na mohamad wote wanapay respect kwake? Kazi ipo kwelikweli

acha kuchanganya watu;
yesu siyo mtume. Yesu kristo ni mwana wa mungu aliyehai na yuko mbinguni. Usimweke yesu kristo kwenye kundi moja na mitume au manabii.
 
Nabii na Mtume Joseph Mwingira amesema, yeye ni Mtume wa mitume wote duniani na hawezi kuogopa na polisi wanao mtafuta.

Amesema serikali ya Tz inaongozwa na watu wanalala makaburi na kuchanjwa chale na waganga wa kienyeji.

Amesema viongoz wakuu akiwemo rais wanavaa pete za wachawi na hirizi hivyo hawana uwezo wa kupambana naye.

Akiongea kwenye ibada alisema kama wananisaka kwa nini wasijekunikamata hapa kanisani? Nitapambana mpaka kieleweke, Nipotayari kufa. Amewataka waumini wake wasitishwe na viogozi wa serikali wanaolala Makaburini.

Manabii wa ukweli hawa hapa:

" Na tukamtunukia ( Ibrahim A.S) Is'haq na Yaakub. Kila mmoja wao tulimuongoa, na Nuhu (Noah A.S) tulimuongoa kabla. Na katika kizazi chake tulimuongoa Daud na Suleiman, na Ayub na Yussuf, Mussa na Harun. Na hivi ndivyo tunavyo walipa wanyao mema". Quran: Al An'am 84.
" Na Zakariya na Yahaya (Yohana Mbatizaji), Issah (Yesu) Iilyas (Eliya). Wote walikuwa miongoni mwa watu wema" Quran: Al An'am 85.
" Na Ismail na Al Yaasa, na Yunus ( Yonah/Jonah) na Lut. Na Wote walikuwa ni miongoni mwa watu wema" Quran: Al An'am 86.

" Hao ndio tuliowapa Vitabu na Hukumu na Unabii." Quran: Al An'am 89

Wajinga ndio waliwao !!!!
 
Mmh makubwa. Mwingira anamaanisha ile pete ya mkuu wa kaya amekabidhiwa gizani pale mlingotini? Na hizi za maaskofu wanazovaa mbali na zile za ndoa zinatoka wapi? Kuna andiko la kuziunga mkono? Natamani kama mwingira angepita hapa akatufafanulia hili.
.
Inawezekana Mwingira kweli akawa mtume wa mitume na nabii wa manabii maana yeye amekaa juu ya neno na Roho mtakatifu. Ninasema hivi kwa sababu biblia inaeleza wazi kwa habari ya maisha ya mkristo hasa kwenye kipengele cha Ndoa. Mkristo hapaswi kumuacha mkewe na kuishi maisha ya kuzini. Maana imenenwa kuwa kitakachowatenganisha wanandoa ni kifo peke yake. Sasa kwa mwingira kilichomtenganisha yeye na mke wake wa ndoa sii kifo ila tamaa ya kumjaribu mwingine aliyejazia. Alimkimbia mke wake wa ndoa kwa gharama ya kuruka ukuta wa chuo cha uinjilisti Mwika alikokua anasomea na hakumaliza chuo. Sasa hivi anaishi na kimada anaejaribu kumpa hadhi ya mke nje ya biblia. Kama biblia inasema mtu mme ama mke akimwacha mke/mme wake na kuoa mwingine ni uzinzi. Hivyo hatupaswi kuichakachua biblia kwa vyovyote ili tumridhishe yeyote. Kama Mwingira ni jasiri kwa jinsi anavyodai tunamwomba ajitokeze hadharani na kukanusha kuwa mke aliye nae sasa hivi sii kimada baada ya kumkimbia mke halali wa ndoa. Na aeleze ujasirii huu wa kuisukumizia biblia chini anaupata wapi maana kwa tendo lake hilo linamuondolea uhalali wa kuwa kiongozi wa kidini(mchungaji) kulingana na waraka wa Paulo kwa Timotheo kwamba askofu(mchungaji) ni sharti awe mume wa mke mmoja. Mimi nashauri mtume wa mitume Mwingira ajitokeze kuomba radhi ukristo na kanisa kwa ujumla na kisha amrejeshe mkewe nyumbani badala ya kujitokeza na kauli tata dhidi ya wengine.
.
 
Hivi Mtume qualification yake mojawapo ni KUSHUSHIWA KITABU?

...............Mtaje katika Kitabu (Quran) Ibrahim. Hakika Yeye alikuwa mkweli, Nabii. Quran: Maryam 41.
............... Mtaje Mussa katika Kitabu (Quran). Hakika Yeye alikuwa ni mwenyekuchaguliwa na alikuwa Mtume, Nabii. Quran: Maryam 51.
........... Nasi kwa rehema zetu tukampa nduguye, Harun, awe Nabii. Quran: Maryam 53.
......... Mtaje katika Kitabu (Quran) Ismail. Bila shaka Yeye alikuwa ni mkweli wa ahadi, na alikuwa Mtume, Nabii. Quran; Maryam 54.
.......... Mtaje katika kitabu (Quran) Idris. Hakika Yeye alikuwa mkweli, Nabii. Quran: Maryam 56.

" Hao ndio tuliowapa Vitabu na hukumu na Unabii." Quran Al An'am 89.
 
Aahhh Mtoboa siri taratibu aisee usiikosee heshima pete ya shemeji yako tafadhali, nilimnunulia mwenyewe bana ntakupiga ngumi.

Ukinipiga ngumi ndugu yangu utakuwa unanionea. Pete uliyomvisha shemeji yangu naiheshimu sana, tatizo ni ile mipete inayotolewa na vigagula
 
Hufikirii chochote kuhusu pete wanazovaa maharusi?Na kifimbo cha Nyerere je mbona husemi chochote mkuu.Mwenge aliouanzisha Mtakatifu Mtarajiwa Nyerere huukumbuki.Maaskofu huvaa pete ambazo waumini huzibusu.Tuseme wakristu huongozwa na viongozi walalao makaburini kama kigezo ni kuvaa pete?TATIZO LETU NI KWAMBA HATUFIKIRI WENYEWE.TUNAFIKIRISHWA.

Aliekwambia pete za harusi, pete za watawa na fimbo ya mwalimu vinatolewa makaburini (au kwa wachawi) ni nani?
 
......... mapapa wa Kikatoliki wote wana "Pete" vidoleni mwao ambazo hupewa na Kanisa, Makadinali wote (akiwamo Pengo !) wana "Pete" wanazopewa na Kanisa. Hizi nazo vipi ? :juggle:

Kwani kanisa ni makaburini? Wewe mtu vipi? Hapa kinachoongelewa ni pete wanazopewa hawa "viongozi" wetu baada ya kulala makaburini au kufanya mambo mengine ya kishirikina. Mtu anasifiwa kulindwa na majini na unalilinganisha hilo na pete ya harusi!
 
Nafikiri kuna maandiko yanasema zitiini mamlaka kwani mamlaka zote zatoka kwa Mungu, sasa hapa sijui pamekaaje kwa Mwingira!
 
duh, inatupasa kuwa makini sana na Haya magazeti. Maana wanaandika habari wauze...
bahati nzuri jana nilikuwepo ibadani Efatha Mwenge...alisema anaheshimu serikali na anamuogopa Mungu peke yake. Haogopi kitu kingine chochote (sio serikali, mahakama,polisi wala mtu). na wala hakusema yuko tayari kufa kwani hakuna anayeweza kufanya hivyo isipokuwa yeye aliye juu(MUNGU)... na ndivyo ilivyo...

ukiripoti kutoka kanisa la Kiranja Mkuu wa Manabii Wote wewe ni grey wa Tv Joseph Mwingiraaaaa! LOL!
 
kama ni pete za wachawi mbona mapadri na mashekh wanazivaa.....? wajinga ndio waliwao acha afaidi maDECI yake aliyoyafanya chuma ulete...wapo waliojitukuza na kujiita mfalme wa wafalme lakini yaliyowakuta ni aibu kuyatizama
 
Nabii na Mtume Joseph Mwingira amesema, yeye ni Mtume wa mitume wote duniani na hawezi kuogopa na polisi wanao mtafuta.

Amesema serikali ya Tz inaongozwa na watu wanalala makaburi na kuchanjwa chale na waganga wa kienyeji.

Amesema viongoz wakuu akiwemo rais wanavaa pete za wachawi na hirizi hivyo hawana uwezo wa kupambana naye.

Akiongea kwenye ibada alisema kama wananisaka kwa nini wasijekunikamata hapa kanisani? Nitapambana mpaka kieleweke, Nipotayari kufa. Amewataka waumini wake wasitishwe na viogozi wa serikali wanaolala Makaburini.

Wakuu,nimenunua gazeti la Uhuru la leo(Jumatatu Januari 16,2012) ambalo anayejiita Mwamakula anataja kua ndo "source" ya hbr yake.HABARI HII IMEPOTOSHWA.
Maneno yafuatayo hayomo kwenye "source" yake-Gazeti la uhuru la leo
1)"kwann wasije kunikamata hapa kanisani"
2)"viongozi wakuu akiwemo rais wanavaa pete za wachawi na hirizi....."
Kwa kunukuu maneno yasiyokuwepo kwenye "source" aliyoitumia ninaamini kabisa Mwamakula ana lengo lake.Na kwa mwenye akili anamuelewa vizuri sana.
Jee wakuu ni nukuu ngapi tunazotolewa humu,ambazo hazipo kwenye asili ya source hizo.Yote haya yana malengo yake.Tafakari.
 
ina maana kama wanalala makaburini ni washirikina
so tunaongozwa na washirikina.....kazi kweli kweli
 
...............Mtaje katika Kitabu (Quran) Ibrahim. Hakika Yeye alikuwa mkweli, Nabii. Quran: Maryam 41.
............... Mtaje Mussa katika Kitabu (Quran). Hakika Yeye alikuwa ni mwenyekuchaguliwa na alikuwa Mtume, Nabii. Quran: Maryam 51.
........... Nasi kwa rehema zetu tukampa nduguye, Harun, awe Nabii. Quran: Maryam 53.
......... Mtaje katika Kitabu (Quran) Ismail. Bila shaka Yeye alikuwa ni mkweli wa ahadi, na alikuwa Mtume, Nabii. Quran; Maryam 54.
.......... Mtaje katika kitabu (Quran) Idris. Hakika Yeye alikuwa mkweli, Nabii. Quran: Maryam 56.

" Hao ndio tuliowapa Vitabu na hukumu na Unabii." Quran Al An'am 89.

usisahau na mohamad naye mambo yake alipewa pangoni,majini walimchezea wakampa huo utume wake
 
Huyo Mwingira ni nani ni yulemgoni kutoka Bomba mbili? ya Kaisari amwachie kaisari
 
mwacheni aseme alichoona kinafaa kusema by the way alikuwa anaongea na wahumini wake mtoa mada kadandia tu na kuirusha humu jf.kikweli amewagusa wengi hata kama nyie mnavaa pete na hamendi kwa waganga kina shehe yahaya junior wachawi wa africa mashariko a kati basi il awenzenu wanakesha kwa waganga mkaee mkijuaa
 
Hivi hawa wanaompelekea 10% huyu msanii Mwingira wanafikiri kwa kutumia kiungo gani? Naamini kila jumapili Mwingira huwa anacheka all the way to the bank kuangalia makusanyo toka kwa wajinga!
 
Back
Top Bottom