Mahakama Kisutu yapiga stop mkutano wa Yanga wa Oktoba 23, 2016

Subirini tu haya maandalizi watayalipa hao wanafiki wachache waliopeleka mahakamani.chaajabu kama kweli wanaipenda yanga kwanini waogope mkutano mkuu ?
 
Manji kama vipi ikaje ghafla tuone huyo mzee mchawi kama atalipa mshahara wa akina Kamusoko .
 
Yanga hamtafika popote kwa kumtuka au kumkejeli mzee akilimali.Ninachoamini ni kua kuna wanayanga wengi sana walionyuma ya huyu mzee.Bila kukaa chini na kumaliza tofauti kwa amani na busara yanga yenye migogoro inanukia.
 
Mmh tunarud kulee kwenye yanga asili na yanga kampun...
Ila naona kama manji alitaka kuwakurupua tu yanga japokua ana malengo mazur...
Kweli mkuu angejitoa basi u mwenyekiti halafu wengine ndio wafanye mchakato. sio kila kitu anasimamia yeye tena kwa mikutano ya dharura. mi ni Simba ila kwa hili unaona kabisa watani wanaamua kwa kukurupuka.
 
Nasema, usimwamini Gabacholi, amewanunua nusu ya wanayanga kwa Sambusa tu. Wacha apate anachotaka atawaona kama choo. Aanzishe club yake kama Azam vile,
 
Mahakama ya Kisutu imezuia kufanyika mkutano mkuu wa dharula wa klabu ya Yanga uliopangwa kufanyika Jumapili ya tar 23 Oktoba kufuatia pingamizi la baadhi ya wanachama waliofika mahakamani hapo,

Taarifa zaidi itawajia.
Barua umeiona lakini inasema mkutano tarehe 22 badala ya tarehe 23,sijui kisheria hili jambo likoje
 
Mnaojua english
7f31389502c0fa24a83a8ca1596bb788.jpg
 
Tunashukuru kama ni kweli. Huyu mkodishaji anataka apige dili gani kupitia yanga. Ndugu wanayanga kuifunga simba sio mafanikio Bali ni wajibu wa yanga na kiongozi yeyote wa yanga analitambua hill.
Yanga daima mbele.
We sio yanga we ni mkia
 
Kweli mkuu angejitoa basi u mwenyekiti halafu wengine ndio wafanye mchakato. sio kila kitu anasimamia yeye tena kwa mikutano ya dharura. mi ni Simba ila kwa hili unaona kabisa watani wanaamua kwa kukurupuka.
Yah ni kwel mkuu angekaa pemben ili watu wachangie wakiwa na free mind maana sa hv naona kama wanamuogopa vile kupinga baadh ya vitu
 
hivi huyu mzee.....si yeye na wenziwe ndio wanapiga kelele timu iwe na uwanja wake? sasa uwanja utajengwa kwa kutumia makende??
Manji ajengi uwanja ......rejea mkataba. Kigamboni ni mali ya Yanga Yetu. Atajenga uwanja wa mazoezi. Kajibu vizuri sana jana wakati anaojiwa na waandishi wa habari baada ya mkutano pale jangwani.
 
We sio yanga we ni mkia
Kwahiyo wanao pinga yanga kukodishwa sio wanayanga. Fikiria vizuri anayetaka kuikodi yanga kwa miaka10 ni mfanyabiashara kwahiyo ataitumia klabu kwa faida yake na sio kwa hasara. Tayari tunaambiwa klabu kwa sasa inadaiwa 11bil.
 
KUNA TETESI KANJI KAITISHA MKUTANO NA WAANDISHI LEO TAREHE 22 ILI KUTENGUA MAAMUZI YA MAHAKAMA!

KANJI VS MAHAKAMA
 
Back
Top Bottom