Mahabusu katika Gereza la Segerea jijini Dar wadaiwa kumlawiti mwenzao hadi kufa

Huu ujinga bado unaendelea kufanyika magereza basi itakuwa ni aibu kubwa sana kwa polisi wa magereza
 
Ni jambo la aibu kubwa mno. Uchunguzi ufanyike na waliohusika wachukuliwe hatua za kisheria
kWA SERIKALI HII SIKIVU HAKUNA HATUA ITAKAYOCHUKULIWA. ITAKUA BUSINESS AS USUAL. MARK MY WORDS. JAPO NILISIKIA IKIONGELEWA BUNGENI NA SELASINI
 
Muwe mnaangalia tarehe ya post basi na nyie maana inaonekana wazi post ni ya 2/6/2009 kipi hakieleweki hapo?

Thread zimechanganywa tu,hii issue ni ya wiki 2-3 zilizopita. Kuna mdau aliileta hapa Columbus
 
Last edited by a moderator:
Gerezani utakuwa salama na vitisho,bifu na attempt kama hizi kama utafanya mambo mawili. Kwanza utakuwa fit kimwili hutaguswa! Pili kama utaweza kupenyeza rupia japo hii itategemea na influence ya uliyempa rushwa. Ndio maana gangs za marekani silaha kubwa ya kuwa mahabusu ni ubabe uwe fit kimwili na upate kundi huko.
 
kama habari hii ni ya kweli huu ni uvunjifu wa haki za binadamu wa hali ya juu. Haki ya Kuishi ni ya kila mtu
 
Haya mambo yanatendeka kwa kasi sana huko kwenye magereza. Wengine huko wanakuwa na partners kabisa na kuwa huyo huwa hachangiwi. Kuna ambao pia wanafanya kwa ridhaa pia kwa ujira wa sigara, sabuni, bhangi, n.k. Ukimwi kule ni kama kawa!!! Condom zipo ila supply ni ndogo sana kuliko demand hivyo, tegemea masuala ya pekupeku ni makubwa.

Sio kweli juu ya suala la kondomu kwa magereza ya tanzania huwa hawagawi condom hata siku moja.
 
Back
Top Bottom