Mahaba na mapenzi lipi bora!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
wapenda pepo wote naomba msaada wenu tofauti kati ya mahaba na mapenzi jamani ntashukuru kwa hilo
hi!!!!!!!!!!!
 
wapenda pepo wote naomba msaada wenu tofauti kati ya mahaba na mapenzi jamani ntashukuru kwa hilo hi!!!!!!!!!!!

Mama Mia,
ngojea kwanza tumalize kujadili hotuba ya JK, kabla haijatolewa kwenye ansard kwa kukosa mtiririko. TUkimaliza, ndio tutarudia kwenye hii hoja ya utofauti wa mapenzi na mahaba.
 
wapenda pepo wote naomba msaada wenu tofauti kati ya mahaba na mapenzi jamani ntashukuru kwa hilo
hi!!!!!!!!!!!

Helo Mama Mia! (jina lako linaonesha kuwa u......... manshalaaah)

Napata mashaka na hao wapenda PEPO uliowaoba msaada wa hii kitu yako hapa. na labda kwa kukusaidia ili tuweze kuijadili mada hiyo vizuri ni bora ukaipeleka katika Jukwaa la Mapenzi na Mahusiano kwani ndio pahala husika zaidi kwa hii post yako na tutakuwa huru zaidi ktk kuichangia.

Wasalaaam Mama Mia
 
nyie apo juu mnapenda malumbano! mudamlioutumia mungekuta mshamjibu mama mia. labda minianze, uku kwetu mahaba ni ule ukoko wajuu wa wali. na mapenzi yanaitaji uwanja mpana kukujibu hapa apatoshi labda uipeleke kule wanapokushauri kina shomari! asenteni!
 
Hii ishaingia pahara pake...will be glad..to see the responce..

Mahaba ni hali ya kwanza ya kuanza kwa uhusiano...yaani wala hakuna anaye taka kuona mwezie anapotea katika uso wake...kila analo sema mwenzio ndio ambalo ulitaka kusikia toka mdomo wake...huna la kuchuja.Ukisoma hadithi za shingongo utaina mfano wake hasa ile iliyo fikia sehemu ya 17.

Mapenzi sasa hapo ndipo sasa unaanza kuwa makini na mwenzio...kila asemalo unajua ndio anacho maanisha...sio ambacho unataka kusikia...unakuwa mchunguzi sana na mwenendo wake...kwani unajua kuna uwezekano wa kuwa nae milele au vinginevyo...milele ndio linalo kuongoza.

Regards
Buswelu
 
Umhhhh, sijui kama ni sawa hapa. Mapenzi ni hali ya kupenda kitu au mtu. Mfano unaweza kuwa na mapenzi na mbwa wako, paka n.k.
Lakini kuwa na mahaba ama mahaba ni hali iliyovuka mapenzi. Hasa kwa hali ya kawaida, watu huwa wapenzi na kama ni wa jinsia tofauti basi huvuka kiwango cha mapenzi na kuingia mahabani. Labda nimekupa mwang kidogo.
 
wapenda pepo wote naomba msaada wenu tofauti kati ya mahaba na mapenzi jamani ntashukuru kwa hilo
hi!!!!!!!!!!!

Mapenzi na Mahaba ni maneno yenye maana sawa.

NB: Neno Mahaba Linatokana na neno la kiarabu ,
محبة (Mahabat). Na lina maana ya mapenzi au kupenda.

Matumizi yatatofautiana tu, kulingana na matumizi uliyoyakusudia.

Wakati mwingine neno Mahaba utumika kuonyesha hali ya mapenzi uliokuwa nao...! kwa ujumla hakuna tofauti.

Tusubiri wataalam watufahamishe zaidi...!
 
Last edited:
wapenda pepo wote naomba msaada wenu tofauti kati ya mahaba na mapenzi jamani ntashukuru kwa hilo
hi!!!!!!!!!!!

Napendekeza Kana ka Nsungu na Brazameni watafutwe, nadhani wanaweza kusaidia kujibu hili.
 
Back
Top Bottom