Magwanda ya CHADEMA yaundiwa zengwe UDOM

''ah! Wewe umenizidi tu kwa urefu umaskini na ujinga. . . . . Ila mimi nimekuzidi kwa pesa, elimu, wanawake, watoto . . . . Embu toka hapa, tulio ajiriwa UDOM Ni wa3 bwana, hao wengine ni dhiki zao zimewaleta'' Hayo co maneno yangu bali ni ya PFA ambayo alimtamkia m1 ya viongozi wa UDOSO

umenikumbusha mbali,pale kwa wajasi
 
Unajua kuhusu ile nembo ya ccm pale chimwaga enzi hizo wale wanafunzi wa kwanzawalioanzisha kile chuo kulikuwa na zegwe kubwa kati ya management na wanachuo ambao wanachuo walidai ile nembo ya magamba ina wachefua hivyo wanaomba itolewe but vce chancellor wao kikula aliwaambia kuwa ile nembo ilikuwepo pale kama kumbu kumbu na kuwapatia mfano kuwa ''mfano makabuli ya wakoloni yaondolewe kwa kuwa waliwatawala na kuwanyonya'' lakini yote hayo udom magamba hawataki wana chadema mfano mzuri katika kuwafukuza wanavyuo kipindi kilicho pita walikuwa wanaangalia wana harakati wachadema tu ndio walio fukuzwa kwa asilimia kubwa.
 
wakamuulize gadafi, alisema panya na mende wadogo wameingilia nchi yake kumbe hakujua nchi ni ya wananchi
na ndo hao panya na mende wadogo, mwisho hao wadogo wakamla...... msiogope wao wana pesa sisi tuna mungu.
Mapinduz hayazuiliki
 
Sidhani kama inaukweli wowote kama itatokea wanakataza uvaaji wa nguo hizo kwani zina jina la chadema lakini nachokiona hapa ni wasomi hawa kuguswa na uzarendo wa CDM ndio maana wanapenda kuvaa nguo zinazo fanana na za CDM na sio nguo za CDM ivi kama watakataza nguo zenye rangi ya chama fulani watapata shida kwasababu itawabidi wakataze rangi ya njano,kijani ,nyekundu,kijivu,nyeupe,nyeusi nakama ni aina ya mshono basi watakataza aina ngapi ya mishono sidhani kama wahadhiri hawa kama wanaelewa wanachotaka kukifanya thats my coments.
 
huu ni wazimu kwani ukivaa nguo ya kaki ni tatizo hapa bongo kama we ni mwanafunzi kwanini watu wameanza kuogopa mpaka
nguo jamani lazima kuna tatizo, mnaogopa tena rangi ya nguo eeeeee mungu
wasaidie kwa maana hawajui watendalo.... baba wa taifa alisema mtu akibebwa mwacheni abebwe leo hii mnamuenzi mnaogopa sio tena
kubebwa bali nguo zao mi sijui.....?????????? shida iko.
Bora wapige marufuku hayo Magwanda, wamekwenda kusoma au kuvaa magwanda kama kuna wanafunzi wanataka kuvaa Magwanda wasubiri wamalize chuo
 
Back
Top Bottom