Magwanda: Ishara ya Udikteta wa wanasiasa!

DK SLAA Atakaposhinda, Then ako katoto kako tutakasomesha BURE hadi chuo kikuu ili kajue UMBUMBUMBU wako ulikua wapi.
 
Pumba tupu babake.

Huyo mtoto wako nina wasiwasi kama atafaulu la Saba kama yuko la na hajui kinachoendelea Tanzania.

Mtoto huyu anashangaa mavazi! Kwa vipi asishangae sukari kupanda bei bidhaa anayotumia kila siku, kama ameonyesha ufinyu wa mawazo kiasi ashukuru ujio wa Dr Slaa elimu bora kwa gharama ya serikali hadi form vi GOO DR SLAA GOO CHADEMA VEMAAAAAAAAAA
 
Hivi wewe weekend mbona huonekani unaibuka weekdays tu. Campaign kila siku uokoe chama chako!
 
Kwanza tumchague awe raisi wetu na wewe Malaria Sugu uwe wa kwanza kumchagua Dr. Slaa kiongozi jasiri na ambaye ni muarobaini wa mafisadi na hayo mengine tutayajaliza baadaye
 
Tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu afungue macho yako, afungue minyororo yako, na siku ya uchaguzi umpigie kura Dr. Slaa, mkombozi wa Watanzania. Malaria Sugu for Slaa!
 
Safi sana kama wewe malaria sugu ushaanza kufikiria uwezekano wa Dr Slaa kuwa Rais wa JMT, ila usiwe na shaka mbona Fidel, Mandela, na baadhi ya viongozi wa Indo China hawapendelei kuvaa suti, kuvaa suti si requirement ya Urais.
 
images
images
images
images


kila nikiangalia. dk slaa sijawahi kumuona akivaa suti na tai kama tulivyozoea kuona viongozi wetu wakuu. jee dk slaa akiwa rais kama inavyonyesha kwenye jf jee tutegemee aina nyegine ya kivazi
dk slaa akialikwa kimatifa, tutegemee aina nyengine ya mavazi kwa rias wetu?

Katika hali ya kawaida uwezo wa mtu kuongoza au kutawala hauko kwenye mavazi yake. Anaweza kuvaa vizuri lakini kichwani hakuna kitu, anaweza kuvaa kama Obasanjo lakini kichwani mwake yuko fit. So i do not really care much about what will he wear as long as he is has good brain.
 
duh, kwanini havai suti? Au maadili yanamkataza
Kunasheria inayosema rais lazma avae suti TANZANIA? Mie nimependekeza kama atakubaliana na mabendekezo yangu itanifurahisha sana but yawezekana akamua kutinga vitenge pia kwa sababu tunachojali zaidi yuko smart katika vazi alilotoka nalo na ujumbe wake (unasaidiaje wa tz?) HICHO NDICHO MUHIMU. ATAVAAJE? SI BIG DEAL KWA WA TZ KWA SASA HIVI
 
images
images
images
images


kila nikiangalia. dk slaa sijawahi kumuona akivaa suti na tai kama tulivyozoea kuona viongozi wetu wakuu. jee dk slaa akiwa rais kama inavyonyesha kwenye jf jee tutegemee aina nyegine ya kivazi
dk slaa akialikwa kimatifa, tutegemee aina nyengine ya mavazi kwa rias wetu?

ATAVAA zile za kijani ATAVAAA NGUO ZA YANGA NJANO NA KIJANI NA KOFIA YAKE
 
Kuna msemo unasema "Ukikosea kufunga kishikizo cha mwanzo cha Koti, basi yanayofuata ni matokeo tu ya kosa hilo". Tusimlaumu MS kwa uwezo wake mdogo wa kufikiri, haya ni matokeo ya Elimu ya shule za kata, tunategemea fikira gani toka kwa MS ambaye ni form four leaver (uki penda sema graduate) wa sekondari ya kata!
 
we acha tu bwana kwani nadhani dr slaa ataleta mabadiliko zaidi ya mavazi kwani ni mtu makini,hatadanganywa,ataheshimika na watendaji wake wa chini na wananchi watavunza matunda ya nchi yao.
 
yaani atavaa kimasai?
Kwani kuna ubaya gani? gadafu huwa havai western suti na wala sijaona kuwa hilo ni tatizo. Kwanza kuendekeza suti kunaweza kuwa sehemu ya kuendeleza ukoloni manboleo, kwa nini tusiwe na vazi letu la taifa?
 
Back
Top Bottom