MAGUFURI VS PINDA (Katikati ya Bahari Nimuokoe nani)

Status
Not open for further replies.

Taifa_Kwanza

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
443
86
Wana JF
Kama ni kweli Magufuri amedondosha risignation letter mezani kwa Jakaya, mnadhani Jakaya achukue maamuzi gani kati ya haya.
1. Akubari, Na ndio awe amewathibitishia mpaka wafu kwamba yeye ni Kimeo na haimkeri, hajari, hakosi usingizi wala hashindwi kunywa maji eti kwa sababu watu karibia wote sasa wanajua hilo. au

2. Akatae kuridhia kwa sababu Magufuri ndio the only star kwenye kabinet yake hivyo akiondoka OMBWE la uongozi litakuwa obvious zaidi au litapanuka zaidi.Na pia kufuta kabisa opportunity ya ama Magufuri kukimbilia CHADEMA moja kwa moja na hivyo kuisukumia CCM shimoni au ya UMA kupiga kelele za kumtaka Magufuri akimbilie CHADEMA kuongeza nguvu na justification za failure ya CCM ktk uongozi.

3.Akatae na Kumuwajibisha (kumfire) Pinda kwa kushindwa kusimamia Misingi ya Utawala Bora, na hivyo yeye Jakaya Mwenyewe kujichukulia sifa zote za ushujaa, na kufufua imani ya watanzania juu ya udhabiti wake katika kufanya maamuzi magumu,na pia kuzimisha sifa za ujasiri wa kimaamuzi zitakazomfuata MAGUFURI kutokana na maamuzi yake adhimu. na pia kuzimisha nguvu ya UMA inayomsubiri tu Mkwere akiridhia resignation hiyo nayo imwagike mtaani kulazimisha waziri Mwinyi, Mkuu wa Majeshi na Mwema kujiudhuru au kuwa fired kutokana na madudu yao ya Arusha na Gongo la Mboto ambayo inaweza ikaingiwa na Bouazizi syndrome (sababu Magufuri naye ni sawa sawa na amejiripua kwa petrol) na kujikuta nguvu hiyo ya UMA inabadiri muelekeo ghafla na na kwenda kuweka kambi maeneo yote kuanzia viwanja vya jimkana mpaka Feri kumtaka Hata yeye mkwere aondoke Magogoni all together

Nawasilisha Hoja.
 
baba anapokosa msimamo tutegeme nini? hiyo ndio serikali yetu tuliyoichagua tutegeme madudu zaidi ya hayo simnaona uvccm wanayofanya kila mtu kivyake usije shanga kusikia mkuu wa wilaya akimuamuru waziri kusitisha jambo fulani katika wilaya yake kwa kuwa yeye ni rais wa mkoa au tumesahau yaliyotokea simanjiro.move ndio kwanza limeanza staling hajulikani tusubiri mpaka 2015
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom