Magufuri ulihapa kulinda katiba na sheria za nchi, hivyo ikatae amri ya Pinda.

Byendangwero

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
871
56
Tangu arejeshwe kwenye wizara yake ya zamani mh. Pombe Magufuliamekuwa akitamba ya kuwa atakuwa akisimamia matakwa ya sheria bila ya kumuonea haya mtu yeyote. Mwishoni mwa wiki iliyopita waziri mkuu Pinda alitangaza kufutwa kwa zoezi la bomoa bomoa ya nyuma zilizojengwa ndani ya hifadhi ya barabara. Kwakuwa agizo hilo linakinzana na sheria ambayo mh. Magufuli aliapa kuilinda, hana budi kukataa agizo hilo la Pinda kwa nguvu zote.
 
Kukataa kwake kunaweza kuambatana na Kujiuzulu ili kulinda heshima yake. Kama kweli anasimamia kile anachokisema na anaona kuwa anakwamishwa kutekeleza majukumu yake...
 
Kusimamia sheria kwa CCM haiwezekani. Mtu ukifanya kazi inavyotakiwa matatizo. Dr. Hosea hakukosea alipowambia Wikileaks ukweli
 
Back
Top Bottom